Hafidh Ameir Hassan (1 January 1946 – 7 September 2026) was a Tanzanian agriculturalist, teacher and agricultural academic who was First Gentleman of Tanzania from 2021 until his death in 2026 as the husband of President Samia Suluhu Hassan. He was the first man to hold the role after Hassan became Tanzania's first female president.
Wajumbe wa Mkutano wa Kamati ya Mawaziri ya Jumuiya ya Madola (CMAG) wamesimama kwa dakika mbili kutoa heshima za mwisho na salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Hafidh Ameir Hassan, aliyekuwa mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Tukio hilo...
Wakuu
Mjasiriamali maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, anayejulikana pia kama Sir Wicknell, amemtembelea Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, Ikulu kwa ajili ya kumpa pole baada ya kufiwa na Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia, Septemba 7, 2026, akiwa katika Hospitali ya Mzena huko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.