Ndugu
Nyamkomogi Kuna mtu pia alikuwa anapata error kama hiyo. Hii inavyoonekana ni kwamba Open apps zikiwa zinarun background zinaconsume kiasi kikubwacha RAM hivyo appszinaanza kucrash. Kuhusiana na kujizima kwa simu kunaweza kutokana hitilafu ya hardware/software, sina uhakika zaidi.