Club Legends with DJ JD for real!!

Hahaha,
Hivi umeelewa hata nlichoandika hapo ??
Coco bwana, nimesema siwezi kuonana na wewe hata wakinilazimisha kwa bunduki.
Wala sijakutukana mkuu....Makonda Oyee.

Baada ya kuandika nikakumbuka nimechemka... nipo hapa nadonoa Mzee yupo nje anaongelea ya kutuingizia pesa eeeeh

Haya najua hujanitukana..
 
Kasie mie napenda sana kucheza mziki hasa old school, siku nikipata off nikaja Dar ntafika hapo nicheze mziki weeh hadi ashiki ziishe.

Hapo wanapiga mziki jumamosi tuu? kuna kiingilio na kama kipo ni shilingi ngapi?

Nataka siku nikija hapo niwe mwenyewe sitaki kuzongwa zongwa ili nicheze mziki kisawasawa. Maana najua nikija na mbambiaji ikifika saa saba au nane usiku atasema tukalale wakati mie ni hadi mziki uzimwe ndo natoka ukumbini.

Ntashukuru kwa taarifa ili niiweke kwenye ratiba zangu. Pia utoe location ilipo hiyo club.
Kasie naomba nikulipie nauli ya kuja DAR Tucheze wote mziki mpaka asubuhi kisha kila mtu kwake,hakuna yale mambo yetu ya Enzi zile Mazengo road
 
Kasie naomba nikulipie nauli ya kuja DAR Tucheze wote mziki mpaka asubuhi kisha kila mtu kwake,hakuna yale mambo yetu ya Enzi zile Mazengo road

Hahahahaaa looh ofa hii naanzaje kuikataa looh..

Kasie mie am tempted to touch the heat. .....

Thanks for the offer, am in. Ntakwambia siku ambayo nakuja.

Cheers.
 
Back
Top Bottom