Club gani inaendelea na burudani mwezi huu?

mr gentleman

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,223
4,681
Nimepata mgeni nataka kumzungusha kdg sasa huu mwezi ni mgumu places nyingi Dsm zimefungwa kupisha ramadan. Mwenye kufahamu club ambayo naweza kwenda leo ambayo inaendelea kuwa wazi no matter ramadan.
 
Back
Top Bottom