Usajili wowote ule ni kamali, hata kama mchezaji fulani kufeli kwenye klabu mpya hutokea kwa nadra sana, lakini itoshe tu kukubaliana kwamba huwa inatokea.Sikatai ni mzuri kibongobongo, nakataa thamani anayopewa. Ligi yetu hii ya bongo yenyewe viwanja vibovu na waamuzi wabovu kuna mchezaji wa 500m au 1b. Kuna ujanja ujanja wunafanywa na mawakala ili wapige pesa kupitia mchezaji. Nakwambia hata chama akiwemo ndani timu hiyo itafungwa TU. Mpira wetu unachezwa zaidi nje ya uwanja kuliko ndani ya uwanja. Hivi kazidi sana thamani yake ni 200ml.
Huwezi kusema dereva wa Corolla akipewa Carina hawezi kuendesha. Chama na Makambo wacheze vizuri Tanzania lakini wakose namba kwenye timu zao mpya. Hiyo inatokea kwa nadra sana.
Nakuelewa nakuelewa unajua hata kwenye darasa la wajinga tupu kunakuwa na best student....Uzuri au ubaya ni subjective.
Messi na Ronaldo mmoja anaweza kuwa mzuri au mbaya ukimlinganisha na mwenzie kwa mtazamo wako.
Kwa muktadha wa soka la kidunia, Chama hawezi kuwa mchezaji mzuri maana tutamlinganisha na akina Bruno Fernández, KDB na wengineo.
Lakini hautakua sahihi kama utaweka mpaka wa uzuri, kwamba kuanzia ligi za kaskazini mwa Afrika, Ligue 1, Serie A na EPL ndio kwenye uzuri. Utakua unakosea sana.
Uzuri unaweza kuupata hata aple unapolinganisha Yanga dhidi ya KMC, au Namungo dhihi ya Jang'ombe Boys.
Kwa soka la Tanzania Chama ni mchezaji mzuri na ndio maana anazigombanisha timu za Tanzania katika kumpata.
Chama hahitaji kuwa na uwezo kama wa Luca Modric au Iniesta ili awe mchezaji mzuri katika ligi ya Tanzania.
Kama Real Madrid, Bayern na Man City ndio zingekua zinapigana vikumbo kumpata Chama ungekua sahihi kwenye hoja yako, lakini kwa hizi timu za Tanzania, acha wamgombanie maana Chama ni mchezaji mzuri hapa kwetu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hana thamani ipi? Maana mtoa mada hajataja hiyo thamani ila cha ajabu mwenzangu umemuelewa kama hutojali unaweza nisaidia namie mtoa mada anaongelea thamani ipi mkuu
Sizitaki mbichi hiziUmri umemtupa, uwezo wa kucheza hana tena. Ndiyo maana waarabu hawamtaki tena.
Kwa lugha nyepesi tunasema ameishafeli maisha ya soka ingawa okotaokota watamchukua tu kwa sababu wanapenda kuchukua wazee.
Chama amefunga na kutoa pass ya goli.Hawa wote chama na luis kwenye timu walizoenda wameonekana viwango vyao ni vidogo sana na wanakaa benchi hawana assist wala goli
Hapo kwenye bei ndipo madalali wanapohusika na manipulation ya vilabu. Timu mbili pinzani zinachombezwa ziingie kichwakichwa kwenye mkenge. Bei ya Peter Banda, Yusuf mhilu, yanick, Aucho zimepandishwa juu na walevi kwa kutumia ulevi wa walevi.Usajili wowote ule ni kamali, hata kama mchezaji fulani kufeli kwenye klabu mpya hutokea kwa nadra sana, lakini itoshe tu kukubaliana kwamba huwa inatokea.
Ni kweli Chama sio BIMA kwa timu ambayo yupo kwamba isifungwe. Na hakuna mchezaji duniani ambaye uwepo wake kwenye timu yako unakuhakikishia kwamba hautafungwa.
Kuhusu bei, hilo ni suala la "negotiations" hakunaga bei elekezi za wachezaji.
Hiyo milioni 200 inaweza ikatosha, au ikawa kubwa sana au ndogo sana kulingana na namna mtakavyo negotiate mezani baina ya pande zote husika.
Mawakala hiyo ndio kazi yao, ni kazi halali, hata Ulaya akina Mino Raiola wanafanya hivyo hivyo. Inabidi tuzoee.
Kwahiyo unataka kusema Maguire (Halima Gwaya) aliyenunuliwa kwa mabilioni ya pesa anamzidi kiwango Mwamnyeto au Kennedy Juma waliosajiliwa kwa Milioni chini ya 100, kwakua yeye anacheza Manjesta? Wana Bissaka anamzidi kiwango Asukile ama Kapombe kisa Bissaka anacheza EPL na alinunuliwa 50M Paund?Sikatai ni mzuri kibongobongo, nakataa thamani anayopewa. Ligi yetu hii ya bongo yenyewe viwanja vibovu na waamuzi wabovu kuna mchezaji wa 500m au 1b. Kuna ujanja ujanja wunafanywa na mawakala ili wapige pesa kupitia mchezaji. Nakwambia hata chama akiwemo ndani timu hiyo itafungwa TU. Mpira wetu unachezwa zaidi nje ya uwanja kuliko ndani ya uwanja. Hivi kazidi sana thamani yake ni 200ml.
Huwezi kusema dereva wa Corolla akipewa Carina hawezi kuendesha. Chama na Makambo wacheze vizuri Tanzania lakini wakose namba kwenye timu zao mpya. Hiyo inatokea kwa nadra sana.
Ewaaaa!! Huo ndio ukweli wenyewe. Ndio maana kila taifa la Africa linaita na kutumia wachezaji wake wanaocheza Ulaya wakati wa mashindano ya timu za taifa. Mbona Tanzania tunang'ang'ana na Mbwana Samatta kwenye kila mechi? Tena tumempa unahodha wa timu wa kudumu hata kama mchango wao sio kivileee.Kwahiyo unataka kusema Maguire (Halima Gwaya) aliyenunuliwa kwa mabilioni ya pesa anamzidi kiwango Mwamnyeto au Kennedy Juma waliosajiliwa kwa Milioni chini ya 100, kwakua yeye anacheza Manjesta? Wana Bissaka anamzidi kiwango Asukile ama Kapombe kisa Bissaka anacheza EPL na alinunuliwa 50M Paund?
Experience matter.Ewaaaa!! Huo ndio ukweli wenyewe. Ndio maana kila taifa la Africa linaita na kutumia wachezaji wake wanaocheza Ulaya wakati wa mashindano ya timu za taifa. Mbona Tanzania tunang'ang'ana na Mbwana Samatta kwenye kila mechi? Tena tumempa unahodha wa timu wa kudumu hata kama mchango wao sio kivileee.
Timu za Ulaya zina jicho la mwewe, hawazi kuacha kumuona mchezaji mzuri na kumpeleka kwao. Tena Zambia Kuna mawakala kibao kabisa, kwanini jicho la mwewe halikumuona Chama? Chama Hana tofauti kubwa na akina obrey Chirwa, Rally Bwalya, chikwende, nitamshangaa mtu akitoa 6m kuleta Chama kwenye timu. Hana thamani hiyo bhana!!Sizitaki mbichi hizi
Ila jamaa ana msimamo sana aliwawashia moto balaa.......naona tau ndio balaa pale alahlyWamisri hawamuelewi anaruka ruka tuu uwanjani, wanamuuliza kocha masmane kasajili ka emoro cha nini na kwanini anakapanga kamtu kalikoshindwa kwenda sambamba na michezo ya watu walioshiba wenye mchezo wa kasi wanataka kumtoa roho
ndio maana alipo sasa ni failure tuKuna mbinu zinatumiwa na mawakala wa wachezaji kupandisha thamani ya wachezaji wao. Ni kuzichagiza timu kubwa na pinzani kwa mchezaji wao.
Mfano Chama anaongezewa thamani ambayo hana kwa kumhusisha na Yanga na Simba. Binafsi, Chama ni mchezaji mzuri lakini ni WA kiwango Cha Tanzania na Afrika mashabiki TU. Utamuoneze thamani yake kibwege kabisa.
Amejikanyaga tu matokeo yake drooChama Hana thamani hiyo
Heh we ni mwanamichezo kwelKwahiyo unataka kusema Maguire (Halima Gwaya) aliyenunuliwa kwa mabilioni ya pesa anamzidi kiwango Mwamnyeto au Kennedy Juma waliosajiliwa kwa Milioni chini ya 100, kwakua yeye anacheza Manjesta? Wana Bissaka anamzidi kiwango Asukile ama Kapombe kisa Bissaka anacheza EPL na alinunuliwa 50M Paund?
Ni ya sisi mashabikiChama kurudi ni mpango wa kocha au viongozi?
Umeamini sasa kuwa hana thamani aliyoondoka nayo? tumepigwa kiboya. Karejeshwa kisa anatajwa kusajiliwa na Yanga.Hana thamani ipi? Maana mtoa mada hajataja hiyo thamani ila cha ajabu mwenzangu umemuelewa kama hutojali unaweza nisaidia namie mtoa mada anaongelea thamani ipi mkuu