Iko hewani tangu Desemba 2009, kama alivyosema mdau hapo juu huwa wanapiga muziki tu, na katika skrini kwa chini pale sehemu yanapopita maandishi kuna maneno ya "Test Signal". Kumbuka kwamba hawajaweka logo yao katika Tv, ndio sababu inawachanganya sana wadau. Hope mambo yatakuwa hewani soon.