Clouds yaipotezea UKAWA

Clouds yaipotezea UKAWA

Rich Pol

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2013
Posts
7,877
Reaction score
5,694
Nikiwa katika foleni kuelekea kuwajibika, napenda kusikiliza uchambuzi wa magazeti kutoka ktk radio tofauti tofauti.

Nimefungulia radio clouds, wakati Paul James (PJ) akichambua magazeti walipofikia kusoma habari ya Ukawa, Barbara Hassan akamwambia PJ hawa tuwapotezee maana wao wametupotezea.

Badala ya kurudi bungeni kusimamia tupate katiba nzuri wameamua kutupotezea basi nasi tusiwape kichwa tuwapotezee.
Kauli ambayo imeungwa mkono na PJ na Mbwiga na kuendelea kusoma habari zingine.

Hii inaonyesha ni kiasi gani wananchi wamekereka na ukawa waliokuwa wanawategemea kuleta changamoto kubwa ktk bunge la katiba hatimae kupata katiba nzuri.

Je maamuzi yao yametokana na uchanga wa uzoefu ktk siasa hasa katika mambo makubwa kubwa kama katiba kwa kutojua athari zake?

Au ni kususa baada ya kuona matumaini yao kuona yamepotea ya kuivunja Tanzania?

Maana kama ni kuleta machafuko hilo wasitegemee maana waTanzania hatujakulia katika mazingira hayo??

Nawasilisha.
 
Kusaga mmiliki ni kada wa chama tawala, , kibonde ndio Mc wao kila kukicha, na wanatumia viwanja vya ccm ktk fiesta unategemea wataunga mkono ukawa???
NJAA KITU MBAYA SANA , INAFANYA RADIO ZINAUZA UFAHAMU WAO !!
 
Nikiwa katika foleni kuelekea kuwajibika, napenda kusikiliza uchambuzi wa magazeti kutoka ktk radio tofauti tofauti,
Nimefungulia radio clouds, wakati Paul James (PJ) akichambua magazeti walipofikia kusoma habari ya Ukawa, Barbara Hassan akamwambia PJ hawa tuwapotezee maana wao wametupotezea, badala ya kurudi bungeni kusimamia tupate katiba nzuri wameamua kutupotezea basi nasi tusiwape kichwa tuwapotezee.
Kauli ambayo imeungwa mkono na PJ na Mbwiga na kuendelea kusoma habari zingine.
Hii inaonyesha ni kiasi gani wananchi wamekereka na ukawa waliokuwa wanawategemea kuleta changamoto kubwa ktk bunge la katiba hatimae kupata katiba nzuri
Je maamuzi yao yametokana na uchanga wa uzoefu ktk siasa hasa ktk mambo makubwa kabwa kama katiba kwa kutojua athari zake? Au ni kususa baada ya kuona matumaini yao kuona yamepotea ya kuivunja Tanzania? Maana kama ni kuleta machafuko hilo wasitegemee maana waTanzania hatujakulia ktk mazingira hayo??
Nawakilisha.

Radio tbc ,
Radio clouds
Gazet la uhuru
Jambi leo,
Na wewe!!
Hamtoweza kuwatangaza ukawa Maana mnakula pamoja,
Na ukawa tishio lenu
 
wewe na hao power breakfast mmepokea bahasha toka lumumba. UKAWA waende kujadili rasimu ya ccm?! tume ya Jaji Warioba iliwasilisha rasimu ambayo ccm hawaitaki na wamefanya uhuni kwa kutumia wingi wao kuihujumu. Ukawa Ni wazalendo kama Jaji Warioba na team take.
 
Wewe mwenyewe ni kichaa unayeunga clouds mkono alafu ni ulize mmliki wake ni Muhaya au ??
 
Kwa uwezo wako mdogo wa kufikiri Babla, Mbwiga na PJ ndo maoni ya wananchi????

Ni wananchi. Wa Tanzania, na ni baadhi tu ya wananchi waliokereka na ukawa, ila wao wamepata fursa ya chombo kwa kutoa duku duku lao, je ni wangapi hawana pa kusemea?
 
Hivi hao Clouds Fm kutokusoma au kusema habari za UKAWA ni kujisumbua bure kwani vyombo vya habari vipo vingi sana, na hivyo vyama vinavyounda UKAWA vilikuwepo kabla ya Clouds Fm kuanzishwa, sioni kama kuna tatizo la wao na radio yao kusoma habari wanazotaka kwani tunajua wao wanatumiwa na chama gani na SIO chombo huru cha habari.

Nikiwa katika foleni kuelekea kuwajibika, napenda kusikiliza uchambuzi wa magazeti kutoka ktk radio tofauti tofauti,
Nimefungulia radio clouds, wakati Paul James (PJ) akichambua magazeti walipofikia kusoma habari ya Ukawa, Barbara Hassan akamwambia PJ hawa tuwapotezee maana wao wametupotezea, badala ya kurudi bungeni kusimamia tupate katiba nzuri wameamua kutupotezea basi nasi tusiwape kichwa tuwapotezee.
Kauli ambayo imeungwa mkono na PJ na Mbwiga na kuendelea kusoma habari zingine.
Hii inaonyesha ni kiasi gani wananchi wamekereka na ukawa waliokuwa wanawategemea kuleta changamoto kubwa ktk bunge la katiba hatimae kupata katiba nzuri
Je maamuzi yao yametokana na uchanga wa uzoefu ktk siasa hasa ktk mambo makubwa kabwa kama katiba kwa kutojua athari zake? Au ni kususa baada ya kuona matumaini yao kuona yamepotea ya kuivunja Tanzania? Maana kama ni kuleta machafuko hilo wasitegemee maana waTanzania hatujakulia ktk mazingira hayo??
Nawakilisha.
 
Radio tbc ,
Radio clouds
Gazet la uhuru
Jambi leo,
Na wewe!!
Hamtoweza kuwatangaza ukawa Maana mnakula pamoja,
Na ukawa tishio lenu

Jambi leo??! Ni radio, tv au gazeti?
 
Eti cloudz???!! Cloudz ni nan kwanza? Wali si wachumia tumbo kama walivo wale wenzao waliorudi bungen na isitoshe pale kuna kamungu kao kadogo kanaitwa ruge... wanamuabudu na kufuata kila anachotaka...na we mtu mzima eti unasikiliza cloudzz
 
Haaah bado mnaskiliza hiyo redio?
Hao niwapumbavu kam 'wapumbavu' wenzao wa Lumumbatu.
 
wewe na hao power breakfast mmepokea bahasha toka lumumba. UKAWA waende kujadili rasimu ya ccm?! tume ya Jaji Warioba iliwasilisha rasimu ambayo ccm hawaitaki na wamefanya uhuni kwa kutumia wingi wao kuihujumu. Ukawa Ni wazalendo kama Jaji Warioba na team take.

Sasa hiyo Rasimu ya katiba ilipelekwa bungeni kufanya nini kama hamtaki mabadiliko? Warioba alitakiwa akimaliza kazi yao angeipeleka kwa wananchi ipigiwe kura iwe katiba kamili, ni upuuzi kupinga isijadiliwe na nufanyiwa marekebisho kwa manufaa ya wachache.
 
Back
Top Bottom