Clouds wanatufanya wajinga

Clouds wanatufanya wajinga

Hiyo Ni business strategy,hata kama ingekuwa wewe Ni biashara yako,huwezi kukubali kwamba watu waligombana studio,hiyo inaweza kuwa kick out of the market
 
Kumbe mnapenda kuisikiliza Clouds eeh?

Maana kila litokealo huko mnalijua lakini hamuachi kujishaua mnaichukia.
 
jana nilikua nasikiliza PB wamleta program manager kuelezea juu ya ule ugomvi ulotokea last week,eti akasema ile ilikua ni planned ili wajue attention ya watu ktk radio yao,Hivi hawa jamaa wana akili kweli? Majibu mepesiiiiiiii kwa maswali magumu ndo haya then nashindwa kuwatofautisha na ccm pale lukuvi aliposema lile bomu la arusha soweto ni cdm wenyewe wamepanga ili kupata huruma ya watu.Mimi nasema hivi kuanzia jana 88.5fm sisikilizi teeeeeeeeeeeeena,bora niwe namsikiliza zembwela anaongea vitu vyenye mashiko
ulikuwa unajua kuwa wana akili na ndio maana uliendelea kuwasikiliza lakini almradi umejitambua, nategemea hutatuletea tena story zinazowahusu maana hutasikiliza.
 
mkudesimba anawachanganya sana hawa jamaa....
& for real wasipokaa sawa wanafunikwa kama mihogo ya kuchemsha
 
Kijana watu tuna miaka hatusikilizi hyo ebu tuambie ugomvi gani tena sugu na ruge au?
 
clouds na ruge ni wahuni sana Naona wamebuni njia nyingine ya kupiga hela wamekuja na kamsemo kengine kanaitwa Paza sauti, siku sii nyingi utaona wamemuita kikwete wapige hela!
 
Nimefurahi kusikia watanzania wenzangu wanachukizwa na namna clauds wanavyodhani kuwa watanzania ni mabwege! Sisi wa mikoani tumechukizwa sana na hii redio bora tusikilize local radios . Hv hakuna bodi ya usajili wa watangazaji kama ilivyo kwa taaluma zingine (CRB nk)? Waache ujinga tusiwsone mikoani. TCRA tunataka tuone hatua gani mmechukua vinginevyo hamfai kuregulate hii industry
 
bora mkuu usikilize supermix iko cha zembwela ndo kipindi pekee cha kuwaelimisha na kuwapa habari wana east afrika maana hata waandishi wake wananidhamu na kazi yao
Huwa kipo sa ngapi mkuu
 
Kweli PAZA SAUTI cloudz wasitufanye wote ni wajinga tuliosikiliza ugomvi ule..
 
Wanajikaanga na mafuta yao kuna audio tatu toka kipindi chao cha hekasheka hebu zisikilizena...
 
mkuu mjing@ mwenyewe unaewasikiliza
 
Ukiona baba mzazi unamwambia mwanao "unajua mimi ni baba yako" jua una tatizo.
 
alafu icho kiredio station kilianza vizur badae nape kakinunua saiv ni maccm matupu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom