Clouds wanatufanya wajinga

Clouds wanatufanya wajinga

Mi nilishaacha kuwasikiliza hao wajinga muda mrefu tu baada ya kugundua hawana cha maana wanachotangaza zaidi ya ujinga ujinga tu.
 
kwani mkuu wewe bado under 17 mpk usikilize clauz? mimi niliacha kusikiliza iyo redio tangu enzi za kipindi cha Dakta beat enzi za rehema chalamila
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom