Clouds wamenifurahisha sana na hii kauli mbiu

Nashangaaa sana now daiz kunamapinduzi ya kijeshi?namwambia jamaa yangu akasema hamna hawaweziii,,Mara anasikia wamewekwa chini ya ulinzi kachokaaaaa
Ajiandae kusikia makubwa zaid ya hayo. Huko Uganda
 
Naona makonda kaja na yake baada ya kuambiwa kua mzalendo.. Kapanga kuburuga fiesta
 
Back
Top Bottom