mchumihalisi
Member
- Oct 8, 2015
- 28
- 98
Yawezekana sasa hivi Watanzania tumeamua kuamka na kusapoti vya nyumbani, Pole kwa wote mnaotazama home sie bado tuko hapa mpaka Jogoo awike.
Afande Sele kaperfoam kama miongoni mwa wasanii wa Surprise sasa hii yawezekana ikaisha saa 3 asubuhi jama.
Afu kumbe vyuma havijakaza wala nini, Watu nnaowaona Leaders Club ni kama kiingilio ni BURE hivi.