Clouds vs Jaydee in Kili Music

Clouds vs Jaydee in Kili Music

herrypeter1

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2009
Posts
223
Reaction score
30
Kuna jambo la kipuuzi ambalo kama mwananchi mzalendo inabidi kulifikiri nikawaza ivi jaydee akipata nafasi ya kwenda kuwakilisha Nchi Clouds hamtatangaza? Acheni wivu wa kurudisha maendeleo nyuma kwa kuruka jina la jaydee katika list.
 
Na wewe una lialia nini kwani clouds ndio nini radio zipo nyingi tu!

Huku kulia lia ndio mnawavimbisha kichwa swaiin!!zao
 
Ruge etal ni watu wanojifanya miungu watu, wanajifanya wasipofanya shughuli yako eti haitafanikiwa,
walisema Sugu hatakuwa mbunge wa mbeya ..sasa wawseme tena,
wao sio Mungu ila ni kikundi cha watu wachache kinachopora mali, fedha na haki za wasanii, Jaydee alikataa kutapeliwa na hichi kikundi ndiyo maana wanamsakama.

Watafute njia nyingine ya kutafuta fedha na siyo kuwapora wasanii na ndiyo maana wengi wamebaki ombaomba hawana kitu Ref: Mangwea (R.I.P)
 
Nilijua hayumo kumbe naye anawania tuzo? Nashukuru mzee kwa taarifa, hivi 20% naye yumo?
 
cloud ni kampuni ya mtu/watu binafsi c ya serikalihatuwez kulalaikia maamuz yao
 
hawa jamaa ni watu wa ajabu sana,nilimsikiliza diva juzi akitaja wanaowania tuzo za kili akifika kwa jide anaxema kwa uchungu naruka yaani anashndwa kutaja jina la jay dee cz analinda kibarua chake,jee iv mpaka lini?
 
Siwalaumu clouds fm nawalaumu waandaaji na wazamini kili hayo matangazo yamelipiwa na kili pamoja na hilo jina kama clouds wanaruka hilo jina la jide basi ilitakiwa kili wawashitaki clouds kwa kutorusha tangazo ipasavyo au kama vp kili waondoe hilo tangazo clouds liendelee kurushwa radio zingine.
 
sasa kama mtu amesema hataki jina lake litajwe kwenye kituo hiko ...,wao wafanyaje sasa..,vitu vingine vipo open kabisa msilazimishe jamani kama amepangiwa kuchukua atachukua tuu.

team anakondaa
 
cloud ni kampuni ya mtu/watu binafsi c ya serikalihatuwez kulalaikia maamuz yao

we kipapa,,,iyo redio imepewa kazi ya kuifanyia promo iyo kili award esp nominees...sasa wanafanya utovu wa nidhamu kuwafitini baadhi ya wasanii washindani....
 
Jamani ye mwenyewe alishaandika wosia kuwa Clouds wasijishughulishe nae hata akifa pia.. sasa nyie mnataka wafanye nn
 
Jamani ye mwenyewe alishaandika wosia kuwa Clouds wasijishughulishe nae hata akifa pia.. sasa nyie mnataka wafanye nn

Vizur kwa nukuu ya kuwakumbusha maneno ya komando... make naona humu watu wanaochangia kwa kujitoa ufahamu.
Kinachofanyika clouds ni utekelezaji wa kauli ya jide..
Msiwalaumu ndo utashi wa jide.
 
Vizur kwa nukuu ya kuwakumbusha maneno ya komando... make naona humu watu wanaochangia kwa kujitoa ufahamu.
Kinachofanyika clouds ni utekelezaji wa kauli ya jide..
Msiwalaumu ndo utashi wa jide.

Na ndio hivyo hao si washaambiwa bana. Watamtangaza radio nyingine yatosha.
 
Vizur kwa nukuu ya kuwakumbusha maneno ya komando... make naona humu watu wanaochangia kwa kujitoa ufahamu.
Kinachofanyika clouds ni utekelezaji wa kauli ya jide..
Msiwalaumu ndo utashi wa jide.

Mawingu walitakiwa kueleza matashi yao juu ya tangazo husika ili wahusika(TBL) wajue kama wataingia nao mkataba au la,lakini kama wameharibu tangazo maksudi kwa kufuatia magomvi yao TBL wana haki ya kuwashitaki kwa kutotoa tanganzo lao bila ya ridhaa yao.
 
Back
Top Bottom