karugila JF-Expert Member Joined Nov 6, 2014 Posts 1,275 Reaction score 687 Dec 15, 2016 #1 Mi nawakubali sana clouds tv.jaribu kuangalia kibwagizo cha shukrani ambapo watu mbalimbali wanatoa shukrani zao kwa mwaka mzima .kuna wimbo unaimbwa kwa mbali unasema asante mzuri sana na sauti nzurii saana jaman .nawapenda clouds
Mi nawakubali sana clouds tv.jaribu kuangalia kibwagizo cha shukrani ambapo watu mbalimbali wanatoa shukrani zao kwa mwaka mzima .kuna wimbo unaimbwa kwa mbali unasema asante mzuri sana na sauti nzurii saana jaman .nawapenda clouds
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,121 Dec 15, 2016 #3 Basi utapewa u DC wa ubungo au mtwara
KING 360 JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 3,002 Reaction score 5,202 Dec 15, 2016 #5 Siungeingia tu kwenye page yao
M mlavie JF-Expert Member Joined Dec 10, 2010 Posts 296 Reaction score 261 Dec 15, 2016 #6 Wewe ni ME/KE?
Hansss JF-Expert Member Joined Jul 17, 2015 Posts 2,370 Reaction score 2,726 Dec 15, 2016 #7 sometimes jf nao wanaboa bhn thread gani hii ya kutangaza biashara za watu kupitia jf???
J Juma juxx JF-Expert Member Joined Aug 18, 2016 Posts 313 Reaction score 150 Dec 15, 2016 #8 Ilo chizi
mugeza JF-Expert Member Joined Jul 25, 2013 Posts 530 Reaction score 275 Dec 15, 2016 #9 Kuna mijitu mingine humu ndani basi tu, hebu toa upuuzi wako .
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,652 Reaction score 5,635 Dec 15, 2016 #10 shule hazijafunguliwa tu jamani,mheshimiwa ndalichako hebu rudisha tuisheni mashuleni hawa madogo wakikaa nyumbani wanaleta upumbaavu
shule hazijafunguliwa tu jamani,mheshimiwa ndalichako hebu rudisha tuisheni mashuleni hawa madogo wakikaa nyumbani wanaleta upumbaavu