JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
Kwa mujibu wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) nchi ina vituo 5 tu vilivyo sajiliwa vya televisheni (ITV, EATV, STAR TV, CHANNEL TEN & TBC1 tu) vituo vingine vyote ni community broadcasters tu a.k.a Tv za chumbani..hata wewe ukiamua kuanzisha sawa tu!
mkuu kwenye remote yako bonyeza TRACK kisha bonyeza CH- kuchagua audio track halafu bonyeza VOL+ kuhamia upande wa kulia kisha bonyeza tena CH- kuchagua Left kisha OK. sauti utaipata....mbona ITV na EATV sipati sauti kwenye statimes?
kwa hiyo unataka kusema klauzi tv haijasajiliwa?Kwa mujibu wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) nchi ina vituo 5 tu vilivyo sajiliwa vya televisheni (ITV, EATV, STAR TV, CHANNEL TEN & TBC1 tu) vituo vingine vyote ni community broadcasters tu a.k.a Tv za chumbani..hata wewe ukiamua kuanzisha sawa tu!
duuh!!TANZANI KWELI KIBOKO ,HATA TELEVISION YA TAIFA MNALIPIA!!!
serikali ilisema tv za ndani zilizo sajiliwa ni tano tu! so inawezekana kwenye hizo tv tano zilizo sajiliwa tv mfu hawamo. mia
clouds wanajua kuwaalika akina papaa mopao tu hawajui dunia inavyobadilika
haya kazi kwao waelezane huko huko studioni vilaza wakubwa.