Hapa ndio mchanganyo unapokuja. Kama wako zuku je Zuku wanafanya transcoding kwa watu wanaowarushia matangazo?Wanapatikana zuku
serikali ilisema tv za ndani zilizo sajiliwa ni tano tu! so inawezekana kwenye hizo tv tano zilizo sajiliwa tv mfu hawamo. mia
Sasa sio hewani tu, hata katika list ya channels wameondolewa!