Hongereni clouds tv kwa kujitanua katika soko la kimataifa kwa kujiunga na DSTV, kujiunga na DSTV ni jambo moja na kuboresha vipindi vyenu ni jambo lingine.
Haya wakongwe wa burudani EATV a.k.a channel 5 na nyinyi tunawategemea kujiunga DSTV muda si mrefu, Dr Mengi aache ubahiri