clementsanga
Member
- Jul 15, 2013
- 65
- 27
wanaboa sanaKituo cha television cha clouds, kwa kweli kwenye upande wa tv mlikuwa hamjajipanga kabisa kifupi mlikurupuka!! kwani haiwezekani kwa matukio ya habari yanayotokea nchini kila siku, nyie mnakuwa na habari moja tu!!! mfano leo local news wametangaza habari moja tu, na jicho la mwewe, eti taarifa ya habari imekwisha!!! kwani lazima muwe na taarifa za habari??!!
Ushawahi kuona wapi habari inaanza na hadithi.
tv hovyo ile sijawahi ona hakuna kipindi hata kimoja cha maana
kuna kile cha asubuh 360, dah! jamaa wanaichukulia poa sana tasnia ya uandishi.
sijawai kumsikiliza huyo jamaa ila kimuonekano tu jamaa ni poorkuna kile cha asubuh 360, dah! jamaa wanaichukulia poa sana tasnia ya uandishi.
Kile kipindi wanatangaza au wanapiga soga.!kuna yule mtangazaji wa 360 cha asubuhi bwana kamoga hana ufaham wa mambo mengi sana anazidiwa na Sam....
Kituo cha television cha clouds, kwa kweli kwenye upande wa tv mlikuwa hamjajipanga kabisa kifupi mlikurupuka!! kwani haiwezekani kwa matukio ya habari yanayotokea nchini kila siku, nyie mnakuwa na habari moja tu!!! mfano leo local news wametangaza habari moja tu, na jicho la mwewe, eti taarifa ya habari imekwisha!!! kwani lazima muwe na taarifa za habari??!!
juzi wametangazwa kuwa tv station inayopendwa zaid tz
Kiukweli jamaa hawakujipanga na kwa sasa nahisi wanajutia huo uamuzi. Wako very shallow in everting hata ubora wa sauti ns picha ni mbovu kushinda ile tv station ya zamani ilikuwa inaitwa c2c..
Mambo yote kwa sasa Ni azam two Habari.
Mambo yote kwa sasa Ni azam two Habari.
Umenifurahisha sana kwa sentensi yako ya mwisho eti kwani lazima wawe na taarifa ya habari? Binafsi nawashauri kama hawawezi kuandaa taarifa za habari wanaweza kuwa wanaweka clips za comedi tukacheka kuongeza siku za kuishi.Kituo cha television cha clouds, kwa kweli kwenye upande wa tv mlikuwa hamjajipanga kabisa kifupi mlikurupuka!! kwani haiwezekani kwa matukio ya habari yanayotokea nchini kila siku, nyie mnakuwa na habari moja tu!!! mfano leo local news wametangaza habari moja tu, na jicho la mwewe, eti taarifa ya habari imekwisha!!! kwani lazima muwe na taarifa za habari??!!