white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,618
- 13,889
Kituo cha television cha clouds, kwa kweli kwenye upande wa tv mlikuwa hamjajipanga kabisa kifupi mlikurupuka!! kwani haiwezekani kwa matukio ya habari yanayotokea nchini kila siku, nyie mnakuwa na habari moja tu!!! mfano leo local news wametangaza habari moja tu, na jicho la mwewe, eti taarifa ya habari imekwisha!!! kwani lazima muwe na taarifa za habari??!!

wametangazwa na nani mkuu au ww ndo unawatangaza hapa!!?? Bahati nzuri me natumia dstv sina hiyo takataka kwenye kisimbusi changu.juzi wametangazwa kuwa tv station inayopendwa zaid tz
unapokaa inashika clouds tu?