JEMEDARI .H.
JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 341
- 63
Nimekerwa sana na kitendo cha clouds tv na radio kuunga mkono raia wanaodharau walimu na kutojua umuhimu wa elimu,yaan mtu anakwenda shuleni kufanya fujo halafu wao wanaunga mkono wamenikera mno.
Nimekerwa sana na kitendo cha clouds tv na radio kuunga mkono raia wanaodharau walimu na kutojua umuhimu wa elimu,yaan mtu anakwenda shuleni kufanya fujo halafu wao wanaunga mkono wamenikera mno.
Mjinga akielimishwa hujiona kana kwamba yuko juu ya mwalimu wake,hawa wa..p..u..v wanajiona wanajua kuliko wengine
Nimekerwa sana na kitendo cha clouds tv na radio kuunga mkono raia wanaodharau walimu na kutojua umuhimu wa elimu,yaan mtu anakwenda shuleni kufanya fujo halafu wao wanaunga mkono wamenikera mno.
Unatafuta mkunaji akukune ama?
Dah jamani hawa clouds mshawasema saaaana!! Waacheni wapumuwe Sasa huwezi kuisikiliza acha!!
Hawana maadili wale jamaa,kwanza baraza la kiswahili linataka kuwafungulia kesi kwa kuongoza kuharibu lugha ya kiswahili bado tu wanaendelea kuzarau waalimu namna hiyo?
Nimekerwa sana na kitendo cha clouds tv na radio kuunga mkono raia wanaodharau walimu na kutojua umuhimu wa elimu,yaan mtu anakwenda shuleni kufanya fujo halafu wao wanaunga mkono wamenikera mno.
Nimekerwa sana na kitendo cha clouds tv na radio kuunga mkono raia wanaodharau walimu na kutojua umuhimu wa elimu,yaan mtu anakwenda shuleni kufanya fujo halafu wao wanaunga mkono wamenikera mno.
He mleta mada je uliona tukio Zima? Au kwa kuwa ni Clouds wameripoti ndio unawasema hivyo.? Kama Great thinker nadhani tunawajibu wa kuwa neutral! No matter nani karipoti kitendo alichoana mwalmu Mkuu ni cha kiuaji!!!!!! Je ulimuona mtoo wyule mama baada tukio? No this is not acceptable in Tanzania! N j ulisikia huyu mmaaikuwa anapeleka nini? Michango ya kulipalimnzi! Jukmu hili ni laserekali! Lkn mama wa watu kwa hali yake aliyoayo kapeleka huo mchango! Return yake ndio hiyo. (Siungi mkonoabia mbaya yoyote aiyoonyesha yule mama\) Lakini\ML mkuu hakupwa hata u kukiri unyama aliouanya!Nimekerwa sana na kitendo cha clouds tv na radio kuunga mkono raia wanaodharau walimu na kutojua umuhimu wa elimu,yaan mtu anakwenda shuleni kufanya fujo halafu wao wanaunga mkono wamenikera mno.
He mleta mada je uliona tukio Zima? Au kwa kuwa ni Clouds wameripoti ndio unawasema hivyo.? Kama Great thinker nadhani tunawajibu wa kuwa neutral! No matter nani karipoti kitendo alichoana mwalmu Mkuu ni cha kiuaji!!!!!! Je ulimuona mtoo wyule mama baada tukio? No this is not acceptable in Tanzania! N j ulisikia huyu mmaaikuwa anapeleka nini? Michango ya kulipalimnzi! Jukmu hili ni laserekali! Lkn mama wa watu kwa hali yake aliyoayo kapeleka huo mchango! Return yake ndio hiyo. (Siungi mkonoabia mbaya yoyote aiyoonyesha yule mama\) Lakini\ML mkuu hakupwa hata u kukiri unyama aliouanya!
tumewachoka clouds tunashindwa kusikiliza sana kwa maneno yenu ya uchonganishi aisee hebu badilikeni aiseeHe mleta mada je uliona tukio Zima? Au kwa kuwa ni Clouds wameripoti ndio unawasema hivyo.? Kama Great thinker nadhani tunawajibu wa kuwa neutral! No matter nani karipoti kitendo alichoana mwalmu Mkuu ni cha kiuaji!!!!!! Je ulimuona mtoo wyule mama baada tukio? No this is not acceptable in Tanzania! N j ulisikia huyu mmaaikuwa anapeleka nini? Michango ya kulipalimnzi! Jukmu hili ni laserekali! Lkn mama wa watu kwa hali yake aliyoayo kapeleka huo mchango! Return yake ndio hiyo. (Siungi mkonoabia mbaya yoyote aiyoonyesha yule mama\) Lakini\ML mkuu hakupwa hata u kukiri unyama aliouanya!
Mkuu siku nyingine jaribu kupitia ulichoandika kabla ya kupost.He mleta mada je uliona tukio Zima? Au kwa kuwa ni Clouds wameripoti ndio unawasema hivyo.? Kama Great thinker nadhani tunawajibu wa kuwa neutral! No matter nani karipoti kitendo alichoana mwalmu Mkuu ni cha kiuaji!!!!!! Je ulimuona mtoo wyule mama baada tukio? No this is not acceptable in Tanzania! N j ulisikia huyu mmaaikuwa anapeleka nini? Michango ya kulipalimnzi! Jukmu hili ni laserekali! Lkn mama wa watu kwa hali yake aliyoayo kapeleka huo mchango! Return yake ndio hiyo. (Siungi mkonoabia mbaya yoyote aiyoonyesha yule mama\) Lakini\ML mkuu hakupwa hata u kukiri unyama aliouanya!
Mwana, kuna tuisheni nzuri ya Kiswahili pale kwa Kadege Sinza Shekilango; itakusaidia sana kuandika vizuriHe mleta mada je uliona tukio Zima? Au kwa kuwa ni Clouds wameripoti ndio unawasema hivyo.? Kama Great thinker nadhani tunawajibu wa kuwa neutral! No matter nani karipoti kitendo alichoana mwalmu Mkuu ni cha kiuaji!!!!!! Je ulimuona mtoo wyule mama baada tukio? No this is not acceptable in Tanzania! N j ulisikia huyu mmaaikuwa anapeleka nini? Michango ya kulipalimnzi! Jukmu hili ni laserekali! Lkn mama wa watu kwa hali yake aliyoayo kapeleka huo mchango! Return yake ndio hiyo. (Siungi mkonoabia mbaya yoyote aiyoonyesha yule mama\) Lakini\ML mkuu hakupwa hata u kukiri unyama aliouanya!