Washenzi sana wale wezi wa Idea za Watu...watu wengi wanasugua vichwa kubuni Idea za Vipindi wao wanachukia hivyo vipindi kisha wanakuambia hakiendani na mifumo ya vipindi vyao...baada ya mda mfupi unakikuta kipindi hicho kipo Hewani au wamekigeuza kua Kampeni yao...kuna siku nilikua na wadau flan nkaambiwa kumbe hata hii Kampen ya Fursa...wamechakachua Idea ya watu...mwisho wa siku wao wanatengeneza hela kupitia mawazo ya wabunifu wachanga...
Nyinyi mtakalia majungu tu wenzenu wanazidi kufanya mambo yao na kuingiza mikwanja kama haipendwi na watu mbona wana matangazo mengi sana kwanza na nyinyi mnaowatukana clouds ndio watazamaji wakubwa , mimi ninaona wako vizuri tu. kwani kosa lao liko wapi kila TV na utaratibu wake kama hupendi kuangalia si unaacha, hapa TZ zipo tv nyingi wewe nakushauri uwe unaangalia Chagadema TV. Inayotangaza siasa mpaka unachoka.
itakuwa katoka bush huyu

hawa bwana sijui wana nin kuna kipindi walijitoa star times wakizani huko walikoenda wataongeza mauzo ya ving'amuzi vya wadau wao, weee walirudi mbio star times baada ya kuona kuona hivo ving'amuzi havitoki na wao ndoo wana didimiaiyo tv inapatikana ktk king'amuzi gani?