CLOUDS si redio ya Kusikiliza

CLOUDS si redio ya Kusikiliza

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,138
Imejaa ushabiki wa kisiasa hasa kuiponda CHADEMA na kuifagilia CCM.Washabiki wa wazi wa jambo hili pale ni Paul James Swea,Efraim Kibonde na Gerald Hando.Kwenye uchambuzi wa magazeti,gazeti lolote linaloponda CHADEMA na kuisifia CCM litasomwa kwa hisia kali na kwa mbwembwe. Kwani Clouds nao ni redio ya chama kama ilivyo Redio Uhuru ya CCM?

Si vyema kwa chombo huru cha habari kushabikia chama kimojawapo cha siasa.Ni kinyume na sheria ya vyombo vya habari. Hali hii isipokemewa yaweza kuleta machafuko kama yale ya Rwanda na Burundi ya mwaka 1994. Mimi naanza kuikemea. Ni tabia ya kuachwa mara moja.
 
Time will tell.., peoplessssssss....
Ngoja CDM kitakapokuwa chama tawala tuone kama wataendelea kukiponda.
Adui mpende hata kama hakupendi.., dunia duara what goes around comes around.
Heri ya mwaka mpya.
 
Imejaa ushabiki wa
kisiasa hasa kuiponda CHADEMA na kuifagilia CCM.Washabiki wa wazi wa
jambo hili pale ni Paul James Swea,Efraim Kibonde na Gerald Hando.Kwenye
uchambuzi wa magazeti,gazeti lolote linaloponda CHADEMA na kuisifia CCM
litasomwa kwa hisia kali na kwa mbwembwe. Kwani Clouds nao ni redio ya
chama kama ilivyo Redio Uhuru ya CCM?

Si vyema kwa chombo huru cha habari kushabikia chama kimojawapo cha
siasa.Ni kinyume na sheria ya vyombo vya habari. Hali hii isipokemewa
yaweza kuleta machafuko kama yale ya Rwanda na Burundi ya mwaka 1994.
Mimi naanza kuikemea. Ni tabia ya kuachwa mara moja.

kwaiyo si ya kusikiliza kwa hoja ya kijinga kama hyo? em kakojoe......
 
Imejaa ushabiki wa kisiasa hasa kuiponda CHADEMA na kuifagilia CCM.Washabiki wa wazi wa jambo hili pale ni Paul James Swea,Efraim Kibonde na Gerald Hando.Kwenye uchambuzi wa magazeti,gazeti lolote linaloponda CHADEMA na kuisifia CCM litasomwa kwa hisia kali na kwa mbwembwe. Kwani Clouds nao ni redio ya chama kama ilivyo Redio Uhuru ya CCM?

Si vyema kwa chombo huru cha habari kushabikia chama kimojawapo cha siasa.Ni kinyume na sheria ya vyombo vya habari. Hali hii isipokemewa yaweza kuleta machafuko kama yale ya Rwanda na Burundi ya mwaka 1994. Mimi naanza kuikemea. Ni tabia ya kuachwa mara moja.
kusoma taarifa zinazohusu ccm kwa mbwembwe wewe ndicho kinachokukera!he! he! he!
 
Tangu hii serikali ya kihuni ianze kuwateua watangazaji vilaza kuwa ma-DC, wengi wao wamekuwa wakijipendekeza kwa matarajio ya kupata uteuzi. lakini hawajui kwamba hivi vyeo vya u-DC mwisho ni 2015. Niliacha kusikiliza radio ya hawa makanjanja siku nyingi sana. Ni siku ambayo niliacha pia kusoma magazeti ya Uhuru na Habari Leo.
 
Watu wengine bwana..wewe kama unaipenda CDM si unaipenda tu!
Shida iko wapi na Clouds?..au nyie ndo wenye akili za kushikiwa?
 
Clouds FM imejaa Makanjanja na Wachumia tumbo. Wale watangazaji wake wengi hawana sifa wapo pale kwasababu tu wanajua kusifia Watawala ili waendelee kupata mkate wao wa kila siku. Paul James, namkumbuka alikuwa Mtangazaji wa ITV lakini alikosa sifa na kwa Ulevi wa kupindukia alifukuzwa kazi. Hili lijamaa sijui kama linajua ni nini kinachoendelea duniani zaidi ya kusifia watu ambao baadae watakwenda kumnunulia bia pale Hongera bar, Sinza. Ni Mtumwa wa kiakili.
 
Watu wengine bwana..wewe kama unaipenda CDM si unaipenda tu!
Shida iko wapi na Clouds?..au nyie ndo wenye akili za kushikiwa?

Nadhani hata wewe huamni unachokizungumza.Nasema kushabikia chama fulani cha kisiasa waziwazi huku ikiwa ni Redio huru ni kosa la kisheria na kihalisia. Utashikiwa wewe akili na zangu nitabaki nazo
 
Wameshindwa hata kutangaza hata kifo cha SAJUKI. Rip Sajuki
 
Waache waendelee, kwa mtu mwenye akili timamu hatutegemeI aipende au kuichukia CHADEMA kwasababu tu kasikia CLOUDS wanaiponda CHADEMA na kuipamba CCM!
 
Tanzania daima sio gazeti la kusomwa
Wewe sio mtu wa kusikilizwa
 
Imejaa ushabiki wa kisiasa hasa kuiponda CHADEMA na kuifagilia CCM.Washabiki wa wazi wa jambo hili pale ni Paul James Swea,Efraim Kibonde na Gerald Hando.Kwenye uchambuzi wa magazeti,gazeti lolote linaloponda CHADEMA na kuisifia CCM litasomwa kwa hisia kali na kwa mbwembwe. Kwani Clouds nao ni redio ya chama kama ilivyo Redio Uhuru ya CCM?

Si vyema kwa chombo huru cha habari kushabikia chama kimojawapo cha siasa.Ni kinyume na sheria ya vyombo vya habari. Hali hii isipokemewa yaweza kuleta machafuko kama yale ya Rwanda na Burundi ya mwaka 1994. Mimi naanza kuikemea. Ni tabia ya kuachwa mara moja.

huo uchambuzi(hata kama haukufurahishi)huwa hauzidi hata dakika 10,redio ipo hewani masaa 24, hilo hitimisho la si redio ya kusikilizwa latokana na nini?
Jipange
 
Imejaa ushabiki wa kisiasa hasa kuiponda CHADEMA na kuifagilia CCM.Washabiki wa wazi wa jambo hili pale ni Paul James Swea,Efraim Kibonde na Gerald Hando.Kwenye uchambuzi wa magazeti,gazeti lolote linaloponda CHADEMA na kuisifia CCM litasomwa kwa hisia kali na kwa mbwembwe. Kwani Clouds nao ni redio ya chama kama ilivyo Redio Uhuru ya CCM?

Si vyema kwa chombo huru cha habari kushabikia chama kimojawapo cha siasa.Ni kinyume na sheria ya vyombo vya habari. Hali hii isipokemewa yaweza kuleta machafuko kama yale ya Rwanda na Burundi ya mwaka 1994. Mimi naanza kuikemea. Ni tabia ya kuachwa mara moja.

teh teh..watu wanaangalia matumbo yao kama ww vile unavyofikiria CDM ikiingia madarakan utapewa hta ka ukuu cha wilaya..teh teh
 
Hadi sasa Mkuu,mimi sina chama chochote.Nangoja kwanza Katiba mpya
 
Mbona Clouds fm wako wazi tangu kitambo?kama hukujua hilo basi pigia mstari.
Unamzungumzia PJ aliyekuwa anaingia na vibomu kwenye mtihani wa communication skills?atazungumza nini undani wa shahada yake naujua,mitihani kibao alikuwa anaibia tu...kwenda zao na tambo zao!
 
Hadi sasa Mkuu,mimi sina chama chochote.Nangoja kwanza Katiba mpya

mkuu me mwenyewe nasubilia katiba mpya..bt mkuu unajua binadam ndo walewale wenye tamaa,ubinafsi,undugu wa kupendeleana so me naona ndo wale wale CCM,CUF,CDM mfano mzuri angalia slaa kamleta mchumba ake,ndesambulo na mwanae,tundu lissu na dada ake same to CCM vlevle...wote sawa ni kama pipa na mfuniko
 
Back
Top Bottom