CLOUDS si redio ya Kusikiliza

CLOUDS si redio ya Kusikiliza

Imejaa ushabiki wa kisiasa hasa kuiponda CHADEMA na kuifagilia CCM.Washabiki wa wazi wa jambo hili pale ni Paul James Swea,Efraim Kibonde na Gerald Hando.Kwenye uchambuzi wa magazeti,gazeti lolote linaloponda CHADEMA na kuisifia CCM litasomwa kwa hisia kali na kwa mbwembwe. Kwani Clouds nao ni redio ya chama kama ilivyo Redio Uhuru ya CCM?

Si vyema kwa chombo huru cha habari kushabikia chama kimojawapo cha siasa.Ni kinyume na sheria ya vyombo vya habari. Hali hii isipokemewa yaweza kuleta machafuko kama yale ya Rwanda na Burundi ya mwaka 1994. Mimi naanza kuikemea. Ni tabia ya kuachwa mara moja.

Kaka wasikuumize kichwa wagonjwa hao...
 
Sorry for bringing this, laikini nia yangu msiniache mbali, Nauliza hivi Kibonde bado anaumwa kikohozi au kashapona. Once again, sorry kwa kuingilia mambo

Kama wewe ni mtu mstrabu(kitu ambacho naamini ndivyo ulivyo)utaniomba msamaha,lkn pia kama umeenda shule na kuelimika,na kama kichwa chako hakina funza,basi utakumbuka hukumu ya kesi ya mengi dhidi ya mbunge malima bungeni juu ya Mengi kutokuzipa habari za rais kipaumbele kwenye taarifa ya habari......otherwise nahisi you are disappointment to JF thinkers kwa kudhani kuwa kila anayeshabikia chadema lazima aichukie clouds fm au kila mwana CCM lazima alipende gazeti laq uhuru.Shame on your forefathers for bringing a tabula rasa like you in this forum.After all Kibonde sio mmiliki wa ile redio ni mtanagazi tu,ameajiriwa kwa editorial policy ya redio,hawezi kufanya kinyume,kosa lake lipi?aache kazi mamako ndo atamwajiri!!!!!!!
 
Kaka ile kikohozi inatuliaga tu,haiponagi
 
Karibu 80% humu hususan mapro CDM kila leo mnajinasibu humu oh hatusikiliz hyo redio,oh mi hata siifahamu, imechokwa n.k lakin kila siku lazima mje na habari za huko clouds, mnaoteshwa? Mnajipa tabu wenyewe kwa kujikaangia sumu.
 
kwani kila siku huwa wanatangaza habar za CDM na ccm mpaka tuache kusikiliza sasa mbona ujatuambia tusikilize radio gani???
 
mkuu me mwenyewe nasubilia katiba mpya..bt mkuu unajua binadam ndo walewale wenye tamaa,ubinafsi,undugu wa kupendeleana so me naona ndo wale wale CCM,CUF,CDM mfano mzuri angalia slaa kamleta mchumba ake,ndesambulo na mwanae,tundu lissu na dada ake same to CCM vlevle...wote sawa ni kama pipa na mfuniko
Sifa ya mnafiki ni kuficha jinsi alivyo lakini kumjua ni rahisi sana.Wewe ni CCM tu.Mbona wa ccm hutaji,umetaja cdm tu.
 
Imejaa ushabiki wa kisiasa hasa kuiponda CHADEMA na kuifagilia CCM.Washabiki wa wazi wa jambo hili pale ni Paul James Swea,Efraim Kibonde na Gerald Hando.Kwenye uchambuzi wa magazeti,gazeti lolote linaloponda CHADEMA na kuisifia CCM litasomwa kwa hisia kali na kwa mbwembwe. Kwani Clouds nao ni redio ya chama kama ilivyo Redio Uhuru ya CCM?

Si vyema kwa chombo huru cha habari kushabikia chama kimojawapo cha siasa.Ni kinyume na sheria ya vyombo vya habari. Hali hii isipokemewa yaweza kuleta machafuko kama yale ya Rwanda na Burundi ya mwaka 1994. Mimi naanza kuikemea. Ni tabia ya kuachwa mara moja.

source ya kuichukia CHADEMA ni ugomvi kati ya RUGE na MUHESHIMIWA SUGU kuhusu studio iliyotolewa na raisi KIKWETE.kama unakumbuka kipindi cha uchaguzi walikandia kuwa Sugu hatoshnda ubunge kwasababu ni muhuni
 
Ha ha ha!!!! ndugu kulia yako ndio kushoto ya mwenzako na nyuma yako ndio mbele ya mwenzako.
 
Matatizo ya certificate za uandishi wa habari na wamiliki wake kukwepa kuwalipa mishahara mizuri ili wafuate sheria za habari.Hawa yawezekana ni vijana wajanjawajanja wa zamani ambao wao kuhusu mlinganyo wa kihabari hawajui ama wanajua ila kuna kitu nyuma ya pazia
 
Sifa ya mnafiki ni kuficha jinsi alivyo lakini kumjua ni rahisi sana.Wewe ni CCM tu.Mbona wa ccm hutaji,umetaja cdm tu.

haya mkuu CCM wakina makamba,kikwete,mwapachu etc..hapo mkuu sawa eeh?..me chama changu cha wavuja jasho
 
Iliwahi kupewa jina by Dully na Sugu.
Lkn wanapalilia ukuu wa wilaya, too bad rahisi jk hakuwaona
 
Imejaa ushabiki wa kisiasa hasa kuiponda CHADEMA na kuifagilia CCM.Washabiki wa wazi wa jambo hili pale ni Paul James Swea,Efraim Kibonde na Gerald Hando.Kwenye uchambuzi wa magazeti,gazeti lolote linaloponda CHADEMA na kuisifia CCM litasomwa kwa hisia kali na kwa mbwembwe. Kwani Clouds nao ni redio ya chama kama ilivyo Redio Uhuru ya CCM?

Si vyema kwa chombo huru cha habari kushabikia chama kimojawapo cha siasa.Ni kinyume na sheria ya vyombo vya habari. Hali hii isipokemewa yaweza kuleta machafuko kama yale ya Rwanda na Burundi ya mwaka 1994. Mimi naanza kuikemea. Ni tabia ya kuachwa mara moja.

Rubbishhhhhh!
 
Vyombo vya habari vina nafasi kubwa saana kuelimisha au kupotosha jamii ndani ya muda mfupi!kwa hiyo basi kama chombo huru kinaegemea upande furani basi hao hawafaiiiiii
 
Kama wewe ni mtu mstrabu(kitu ambacho naamini ndivyo ulivyo)utaniomba msamaha,lkn pia kama umeenda shule na kuelimika,na kama kichwa chako hakina funza,basi utakumbuka hukumu ya kesi ya mengi dhidi ya mbunge malima bungeni juu ya Mengi kutokuzipa habari za rais kipaumbele kwenye taarifa ya habari......otherwise nahisi you are disappointment to JF thinkers kwa kudhani kuwa kila anayeshabikia chadema lazima aichukie clouds fm au kila mwana CCM lazima alipende gazeti laq uhuru.Shame on your forefathers for bringing a tabula rasa like you in this forum.After all Kibonde sio mmiliki wa ile redio ni mtanagazi tu,ameajiriwa kwa editorial policy ya redio,hawezi kufanya kinyume,kosa lake lipi?aache kazi mamako ndo atamwajiri!!!!!!!

Acha matusi wee kilaza, Mbona una panic vp Clouds wana bore, nahiyo yote ni kwa7bu Boss wao Kusaga amepewa hela nyingi na serikali ya CCM kwenye Miladi hewa ya Kilimo Kwanza tunajusa yote so ni lazima wajikombe cyo.
 
Back
Top Bottom