Clouds Radio Matangazo yamewazidi

Clouds imesajiliwa na TCRA Kama Radio ya Matangazo na Burudani...so hutaki matangazo,SIMPLE:Kuna Over 99 Radios ambazo unaweza kuopt kusikiliza
 
Wanaoleta matangazo redioni wanaangalia wingi wa wasijlizaji,kwahiyo wasikilizaji mkipungua na matangazo yatapungua.
 
Kwan umelazimishwa hii nchi inaredio zaid 50, ukiona matangazo mengi kosa sio lao, ni makampuni yanachokidhamini hicho kipindi, na ile ni radio ya biashara Siyo mali ya kanisa amabayo itajiendesha kwa sadaka,
....kwa hyo wenyewe waache kupokea pesa na kuendelea kuwa SUPER BRAND TANZANIA, wakufurahishe wewe, kama unaweza uwe unawalipa wale watangazaji wakufurahishe
 
Clouds imesajiliwa na TCRA Kama Radio ya Matangazo na Burudani...so hutaki matangazo,SIMPLE:Kuna Over 99 Radios ambazo unaweza kuopt kusikiliza
Wao wakiulizwa hawawezi kutoa jibu ulilotoa wewe, hapo ndio tofauti ilipo kati yao na wewe
 
Kuna maana gani kupiga Tangazo alafu likiisha mnalijadili dak 10?!

Au hao watangazaji wameajiliwa taasisi mbili
 
Pole mleta maada, ila Si kosa lako, tatizo kuu ni Kwa baadhi ya radio stations kushindwa kuwa wabunifu na kuitoa clouds fm kwenye reli, hii kitu inanikera sana. Na ndo maana unalalamika as if we have only one station "clouds fm", natoa wito kwa wamiliki wa radio stations zingine waongeze ubunifu ili clouds tena isiwe Habari ya mjini.
 
Katika hili mzee wetu tena mjanja sana mzee mengi unashindwa nn?? Tafadhali ongeza nguvu
 
nimenusa harufu ya uvivu ya watangazaji kutoka clouds.. mfano nikiwaga nasikiliza amplifaya matangazo rundo mpaka napoteza mooddd..m ndo maana siku hizi habari na peruzi online sitaki hata kuisikia hiyo mawingu redio..
 
Hii redio niliacha kusikiliza sababu zipo nyingi ila moja wapo ni matangazo mengi kupita kipindi, kuna siku nilikuwa na subiria Magazeti asubuhi yani walianza ku elezea matangazo mpaka nikifika job na gazeti sikusikia from there magazeti nikawa naya sikliza redio free afrika
 
Mimi nilishashindwa kuwasikiliza hawa jamaa kabisa nilishahamia zangu ifiem. Ni kama mleta uzi ulishawahi kunisikia nikiwalalamikia hawa jamaa.
 
Nilikuwa nasahau kuwa nasikiliza kipindi gani baada ya matangazo kuchukua hadi dakika 20!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…