Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,054
- 3,263
Hili ndilo linaboa Zaidi , yaani wanadiscuss tangazo kama vile wanaenda fanya mtihani .... Oooh Lacto Milk ...itadiscusiwa mpaka mtu unasahau unasikiliza kipindi maalumu cha Lacto au Magazeti .... ! ..halafu wapo watatu , wote wanajadili th same thing .Hwa jamaa ni kero,wanadiscus matangazo mpaka kero,Okay mbadala wao waja
Ni kweli matangazo ndo yanaendesha kituo cha matangazo ila yakizidi ni kero,mimi nilikuwa msikilizaji mzuri wa jahazi na powerbrekfast,ila kwa sasa sisikilizi hivyo vipindi,mfano kipindi cha jahazi kikianza tu yanawekwa matangazo zaidi ya nusu saa ndo watangazaji wanaanza!cku hizi sisikilizi kabisa!Vipind vya Asubuhi ni vipindi ambavyo mtu anataka kusikia habari chap chap aendelee na mambo mengine ya kujenga Nchi
Sasa nyie Yaani ni matangazooo tu ..mpaka mtu hujui ni nn unangoja kusikiliza .
Power Breakfast .. Mkienda Break ...mnaweka Matangazo Sita mpaka sabab Mkirudi ,Mnaanza kujadili tena Matangazo ,Mara Sujui ABC ,Mara sijui ,Play Master,Mara Sijui Fast Jet ...yaani tangazo moja mnachukua dakika 10 Kilidiscus,Mnaenda tena Break ... Matangazo na Nyimbo Moja ,Mnarudi mnadiscus hiyo Nyimbo na Matangazo Tena ..
Mnakera mtu kungoja Habari try To kupunguza ,Kama yamewazidi Jaribu jukaata matangazo mengine ,Tamaa si nzuri
matangazo ndo yanawalipa mshahara kina pj kibonde na wengine atiiVipind vya Asubuhi ni vipindi ambavyo mtu anataka kusikia habari chap chap aendelee na mambo mengine ya kujenga Nchi
Sasa nyie Yaani ni matangazooo tu ..mpaka mtu hujui ni nn unangoja kusikiliza .
Power Breakfast .. Mkienda Break ...mnaweka Matangazo Sita mpaka sabab Mkirudi ,Mnaanza kujadili tena Matangazo ,Mara Sujui ABC ,Mara sijui ,Play Master,Mara Sijui Fast Jet ...yaani tangazo moja mnachukua dakika 10 Kilidiscus,Mnaenda tena Break ... Matangazo na Nyimbo Moja ,Mnarudi mnadiscus hiyo Nyimbo na Matangazo Tena ..
Mnakera mtu kungoja Habari try To kupunguza ,Kama yamewazidi Jaribu jukaata matangazo mengine ,Tamaa si nzuri
Vipind vya Asubuhi ni vipindi ambavyo mtu anataka kusikia habari chap chap aendelee na mambo mengine ya kujenga Nchi
Sasa nyie Yaani ni matangazooo tu ..mpaka mtu hujui ni nn unangoja kusikiliza .
Power Breakfast .. Mkienda Break ...mnaweka Matangazo Sita mpaka sabab Mkirudi ,Mnaanza kujadili tena Matangazo ,Mara Sujui ABC ,Mara sijui ,Play Master,Mara Sijui Fast Jet ...yaani tangazo moja mnachukua dakika 10 Kilidiscus,Mnaenda tena Break ... Matangazo na Nyimbo Moja ,Mnarudi mnadiscus hiyo Nyimbo na Matangazo Tena ..
Mnakera mtu kungoja Habari try To kupunguza ,Kama yamewazidi Jaribu jukaata matangazo mengine ,Tamaa si nzuri
Mimi nimegundua Passion FM siku hizi ndio redio bomba zaidi...Vipind vya Asubuhi ni vipindi ambavyo mtu anataka kusikia habari chap chap aendelee na mambo mengine ya kujenga Nchi