Unakuja kuipigia debe clouds+ mwonekano wake ni kama 360p.hakuna kitu pale labda kuhusu vipindi hilo sijajua.Lakini Kwa Wasafi TV na redio husikilizi wala huangalii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna anaeipigia debe, kuhusu vipindi hujajua umejuaje kama mwonekano wake ni 360p?Unakuja kuipigia debe clouds+ mwonekano wake ni kama 360p.hakuna kitu pale labda kuhusu vipindi hilo sijajua.Lakini Kwa Wasafi TV na redio husikilizi wala huangalii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani mbona eatv wanaruhusu hivyo vipindi vya nje? Mwenye kipindi chake ajaribu kupeleka pale na alipie airtime aone kama hakijarushwa. Sema wale jamaa wako na standards zao hawakurupuki kama hizi tv nyengine, na hawawezi kurusha kipindi kinachofanana na vyengine walivyonavyo.Eyce,
EATV ya sasa sio kama iliokuwa zamani, kwa Tanzania station nyingi bado zina mfumo wa kizamani vipindi vingi wanataka kuzalisha wao, wakati nje vipindi vingi vya TV watu wanatengeneza content wanatafuta mzamini wanaenda kununua airtime, hapa kwetu airtime kwa baadhi ya TV ni expensive, inapelekea wamiliki wa vituo kuzalisha vipindi visivokuwa na maisha marefu
Nimeitazama kwa haraka haraka mara kadhaa nikaona trash[emoji706][emoji706]Japo huenda wakarekebisha mitambo ikawa inaonesha HDhakuna anaeipigia debe, kuhusu vipindi hujajua umejuaje kama mwonekano wake ni 360p..?
Ungekuwa na akili robo tu ya kunifikia mimi,ungelinga sana wewe.Sikiliza dada usiforce tufananae mi niko next level sawa baby?Kishabi cha Wcb roho imekuuma Kutokuangaliwa Wachafu Tv
Hata nimeshangaa anavyosema mwonekano wake eti wa HD!!! Mbona hiki kituko kbsUnakuja kuipigia debe clouds+ mwonekano wake ni kama 360p.hakuna kitu pale labda kuhusu vipindi hilo sijajua.Lakini Kwa Wasafi TV na redio husikilizi wala huangalii?
Sent using Jamii Forums mobile app
yaah Kings fm nawasikiliza, kuna jmaa pale ana vocal kali sana, jingle nyingi za pale kafanya yeye, redio kama hizo ndio zina watu wenye madini sana kuliko hizo kubwaDaaaah yan hadi kings Fm unasikiliza...? Umenishinda in radio naona EA wako vizuri kuliko Radio zote kwa sasa
Clouds naona kama kunakitu kinapungua bado nawaza kukitambua
unachozungumzia wewe ni usikilizwaji na utazamwaji, ninachoongelea mimi ni Maudhui/Content za vipindiKwa upande wa Tv kwa sasa hapa bongo Wasafi tv ndio namba moja.
Kwa upande wa radio Clouds fm bado inaongoza.
Ukibisha tukutane geopoll.
nasikiliza sana The cruise na Amsha Popomr gentleman, husikilizi Earadio..?
naona now wanakuja fresh kuliko clouds
Unasikiliza kupitia nn mkuu especially hizo za nje ya nchi na hiyo kings Fm..?nasikiliza sana The cruise na Amsha Popo
kupitia radio frequency ila za nje unasikilizia online labda kupitia iTunes na platform mbalimbaliUnasikiliza kupitia nn mkuu especially hizo za nje ya nchi na hiyo kings Fm..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu ina stack stack Sana yan haiko clear Wala nnHata nimeshangaa anavyosema mwonekano wake eti wa HD!!! Mbona hiki kituko kbs
Sent using Jamii Forums mobile app