Mkuu naona umeni quote siye, mie sijaleta Uzi huu bwana mi pia mchangiaji tu! Ila punguza stressAlafu alivyo mwehu eti tusikilize clouds
Najua sio wewe uliyeanzisha uzi lakini ulimpinga mleta mada na mimi nikaku support ulivyopingaMkuu naona umeni quote siye, mie sijaleta Uzi huu bwana mi pia mchangiaji tu! Ila punguza stress
Hahahahahahahah Charlie chaplinBora tu niangalie mpira sijaelewa kitu
Dah, mkuu,mbona kichwa cha habari ba habari havina uhusiano? Au ndio promo ya bure ambayo hulipii?Show inayoendelea sasa hivi,luh!Ni ubunifu mkuuubwa!Huyu jamaa Koyo ni hatari mno!!
Kwa mara ya kwanza,nawapongeza sana!
Ila akiingia wcb tu,kwisha habari yake!
Na kwenye essay! Necta wakawapa marks nyingiiiiiiii: kumbe wameandika upuuuzihawa ndio wale kwa Necta walikuwa wanajibu Nusu wanaacha wanahamia swali jengine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanyoshee hata miguu si ni yako bana.