Clouds nani kawapa idhini ya kusoma habari za magazeti?

Ni jambo la kushangaza watangoja wa Clouds FM.kusoma habari karibu yote kwenye magazeti habari hizo hawakuzitafuta wao inakuwaje wanazisoma hewani karibu habari yote? Wenye magazeti hayo mko wapi?
Wacha tuwasubiri wenye ujuzi na uelewa wa hayo mambo ya media
 
Sasa ww kimekuuma nn lakin unauwezo wa kununua magazeti yote , wanawasaidia wananchi wasio NA uwezo wa kununua hayo magazeti
 
Ni jambo la kushangaza watangoja wa Clouds FM.kusoma habari karibu yote kwenye magazeti habari hizo hawakuzitafuta wao inakuwaje wanazisoma hewani karibu habari yote? Wenye magazeti hayo mko wapi?
Nusu saa inatosha kusoma magazeti yote?
 
Kwani magazeti yanaandika habari tu - Mbona kuna makala, uchambuzi, matangazo, tender, nk. Laiti kama magazeti yangekuwa yanaandika habari tu nani angenunua wakati tumeziona jana kwenye TV, Radio na Live kwenye mitandao ya kijamii ?

- Mibongo mmejaa unafiki uliokubuhu, mnasema hamtaki kusikiliza Clouds eti Clouds CCM, mara vilaza mara wanafiki. MMEJAA UNAFIKI MPAKA SHETANI MWENYEWE ANASUBIRI
 
Ni jambo la kushangaza watangoja wa Clouds FM.kusoma habari karibu yote kwenye magazeti habari hizo hawakuzitafuta wao inakuwaje wanazisoma hewani karibu habari yote? Wenye magazeti hayo mko wapi?
ww jamaa hutaki tupate habari.
 
Mkuu embu agiza Pepsi hapo kwa Mangi nitakuja lipa.

Kwani magazeti yanaandika habari tu - Mbona kuna makala, uchambuzi, matangazo, tender, nk. Laiti kama magazeti yangekuwa yanaandika habari tu nani angenunua wakati tumeziona jana kwenye TV, Radio na Live kwenye mitandao ya kijamii ?

- Mibongo mmejaa unafiki uliokubuhu, mnasema hamtaki kusikiliza Clouds eti Clouds CCM, mara vilaza mara wanafiki. MMEJAA UNAFIKI MPAKA SHETANI MWENYEWE ANASUBIRI
 
Ni jambo la kushangaza watangoja wa Clouds FM.kusoma habari karibu yote kwenye magazeti habari hizo hawakuzitafuta wao inakuwaje wanazisoma hewani karibu habari yote? Wenye magazeti hayo mko wapi?
Kwanza sio clouds peke yake. Na pia Umesahau hwa huwa wanategemeana japo gazeti ndo wanaonewa zaid maana wao mpk radio na Tv zimeweka vipind vya magazeti. Ilibid na watu wa Magazeti wawe na Kurasa kwa ajili ya yaliyojiri kwenye Radio na TV. Japo huwa wanafanya hivi marachache sana.
 
Back
Top Bottom