sulphadoxine
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,257
- 649
Hivi hizo pesa za Fine zinakwenda wapi ?, inabidi kama issue ni kuwazalilisha mabibi hizo pesa wawape wazee au kuwasaidia wazee wenye shida na sio kuziweka midomoni mwao... TCRA
Binafsi sikuona hicho kipindi hence siwezi kusema chochote ila si mabibi na wajukuu huwa tuna utani isije ikawa hawa jamaa wanataka kuwa too political correct; ukizingatia labda wasikilizaji wa hii redio hayo ndio mambo yao..
Bibi Bomba ilikuwa ni udhililishaji wa wazee wetu...
Alafu mimi nilijua makada wa CCM wanalindana vipi hii media ambayo ndio propaganda machine yao wanaitozatoza hela bila mpango?!
hivi kwanini ninyi clous fm na tv, watangazaji wote hasa hao wa kiume, wa vipindi vyote, mnaonekana kama wanaume wenye utata fulani hivi, siwezi kusema mashalobalo, sijui niseme washabiki wa cameron wa uingereza au sijui nisemeje. yaani mnapenda kujipodoa, kupaga poda, kuscrub na hata kujichubua wengine na kuchonga nyusi kama madem. na mnapotangaza yaani mwonekano wenu hamueleweki. achilia mbali vipindi vyenu vile vya radio wale wanaume mida ya jioni wanaongea kama wako kitchen party au wako salon ya kike wambeyaaaa na wanapenda sana kuongea utumbo kama mashoga fulani hivi. na nakumbuka walishawahifungiwa na kipindi cha jicho la ng'ombe. hivi mkoje au icho ni kigenge chenu cha washabiki wa cameron?Ushawahi kuthibitisha kama wanalipa? Umewahi kuona receipt yoyote ya malipo?
hivi kwanini ninyi clous fm na tv, watangazaji wote hasa hao wa kiume, wa vipindi vyote, mnaonekana kama wanaume wenye utata fulani hivi, siwezi kusema mashalobalo, sijui niseme washabiki wa cameron wa uingereza au sijui nisemeje. yaani mnapenda kujipodoa, kupaga poda, kuscrub na hata kujichubua wengine na kuchonga nyusi kama madem. na mnapotangaza yaani mwonekano wenu hamueleweki. achilia mbali vipindi vyenu vile vya radio wale wanaume mida ya jioni wanaongea kama wako kitchen party au wako salon ya kike wambeyaaaa na wanapenda sana kuongea utumbo kama mashoga fulani hivi. na nakumbuka walishawahifungiwa na kipindi cha jicho la ng'ombe. hivi mkoje au icho ni kigenge chenu cha washabiki wa cameron?
ila siku hizi watu tusha wahama si tunasikiliza earadio na efm.
Ni kweli wako juu sana kwa mipasho wala mi sikubishii mkuu.Clouds FM ni kituo Bora cha 7 kati ya vituo vya radio 20 barani Afrika. Endeleeni kubwabwaja tu
Ushawahi kuthibitisha kama wanalipa? Umewahi kuona receipt yoyote ya malipo?
Ushawahi kuthibitisha kama wanalipa? Umewahi kuona receipt yoyote ya malipo?