kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,898
Jambo!! Kama habari inavyoeleza hapo juu. Naangalia kipindi cha shilawadu cha hawa vijana wawili live clouds tv. . . Kabla hawajaanza zimepigwa nyimbo mfululizo wasanii mbali mbali, cha kustaajabisha imekuja nyimbo moja ya Diamond 'HELLO' sasa imeanza naona hawakutambua mapema ile jamaa (Diamond)anaonekana mziki ukakatishwa na kuwekwa mwingine. Kweli nimeamini clouds na kijana kutoka madale hawaivi asee.
Kama kuna ambaye ameanza kuangalia kipindi kilivyoanza atakuwa shahidi wangu.
My take vyombo vya habari hii sio kabisa haijakaa vyema kabisa kwanini muwe bias kiasi hiki!???[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app

Acha usshamba wewe,Jambo!! Kama habari inavyoeleza hapo juu. Naangalia kipindi cha shilawadu cha hawa vijana wawili live clouds tv. . . Kabla hawajaanza zimepigwa nyimbo mfululizo wasanii mbali mbali, cha kustaajabisha imekuja nyimbo moja ya Diamond 'HELLO' sasa imeanza naona hawakutambua mapema ile jamaa (Diamond)anaonekana mziki ukakatishwa na kuwekwa mwingine. Kweli nimeamini clouds na kijana kutoka madale hawaivi asee.
Kama kuna ambaye ameanza kuangalia kipindi kilivyoanza atakuwa shahidi wangu.
My take vyombo vya habari hii sio kabisa haijakaa vyema kabisa kwanini muwe bias kiasi hiki!???[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamjua jose kusaga??
Very poor mind in deedNtaanzisha kampeni wiki ijayo ya watu kutoshirikiana na Ruge. Tunataka Watanzania wajue uhuni wa Ruge
Lengo ni kumshusha. Nyimbo ya zilipendwa haijawahi pigwa pale. But nyimbo ya kiba kila SAA inapigwa zaidi ya Mara 3
Ruge hata ukija na ukoo wenu wote hamumuwezi na pia hawana tatizo lolote na diamond.Ntaanzisha kampeni wiki ijayo ya watu kutoshirikiana na Ruge. Tunataka Watanzania wajue uhuni wa Ruge
upo makini kiongozi unajua nn unafanyaNtaanzisha kampeni wiki ijayo ya watu kutoshirikiana na Ruge. Tunataka Watanzania wajue uhuni wa Ruge
Yaan mimi nimebaki namshangaa mtoa mada sijui kala maharage ya wapi? Wawe na ugomvi wangewasaini rich mavoko, harmonize na rayvannyKama hawapatani wale wasanii wa wcb wasingesainiwa fiesta
Tatizo ni kwamba fiesta ni tigo wakati diamond ni voda kwa kipindi hichi ataisoma namba labda mpaka fiesta ipite
Nashukuru mkuu kwa kuona. Nashangaa nashambuliwa mara sijui mtoto wa fb mara mkia wa mbuzi mara eti wcb nilichosema ni kwa individual. Mzee simba mwenyewe naona hawana mpango nayeNimeiona hilo sijaelewa nilidhani wanaweka matangazo ya biashara ila sasa ukivyosema ndo naanza kuwa na mawazo hasi .... hapana Cloud hawana sababu ya kufanya hivyo
Huyu jamaa sijawahi kumuamini kabisa. Ni fisadi mkubwa wa sekta ya burudani. Amepelekea wasanii wengi sana kupoteza future zao. Huyu jamaa ameshajipa umungu katika sekta ya burudani TanzaniaNtaanzisha kampeni wiki ijayo ya watu kutoshirikiana na Ruge. Tunataka Watanzania wajue uhuni wa Ruge
Lengo ni kumshusha. Nyimbo ya zilipendwa haijawahi pigwa pale. But nyimbo ya kiba kila SAA inapigwa zaidi ya Mara 3
Hakika mkuu na bifu hili lihusike kwa kuwapa nguvu EFM....maana ndio wanachokitaka.Wana upendeleo wa wazi sana afu kama ulikuwa hujui clouds ni watu wanaochochea ugomvi wa wasanii hasa adam na bi twelveNtaanzisha kampeni wiki ijayo ya watu kutoshirikiana na Ruge. Tunataka Watanzania wajue uhuni wa Ruge
Arnold Kayanda?
Wale jamaa nimeshaacha kuwasikiliza muda sana. B.12 anajisikia sana now, baada ya kuwa xxl brand manager anajiona yeye zaidi ya msanii. Hawa watu tutawaondoa ukiritimba kwa umoja wetuHakika mkuu na bifu hili lihusike kwa kuwapa nguvu EFM....maana ndio wanachokitaka.Wana upendeleo wa wazi sana afu kama ulikuwa hujui clouds ni watu wanaochochea ugomvi wa wasanii hasa adam na bi twelve