fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,849
- 2,979
Hizi kauli/matendo siku za usoni zinamaanisha nini? ,Hatuwahi zisikia miaka ya nyuma..au ndo maboresho na ubunifu wa utangazaji na vipindi?
1.kuanzia jana tarehe 14 mpaka siku ya Maadhimisho ya Fiesta ni kwaya na nyimbo za nyumbani (wazawa)
2.Saa moja kamili asubuhi- Wimbo wa taifa
3.Kataa kua kaa
4.Wimbo -ishi na mimi
Mengine tiririka hapa chini.