Ukifuatilia kwa umakini ukurupukaji uliofanywa na mkuu wa mkoa ni dhahiri kuna kituo fulani cha tv kilimshauri afanye hivo au amekua mfatiliaji mzuri wa media hiyo. Yale yote aliyoyatenda yamekuwa yakijadiliwa mara kadhaa na kituo hicho,,
Hata season ya jana ukiangalia wale wahusika(watoto) ni mpango uloletwa toka kituo cha tv. Viongozi tumieni akili zenu bas msitegemee mawazo ya asubuhi ya tv, wale unaowasikiliza hawana uelewa mpana wa mambo wanayoyaongea.