Subiri ndio mtajua hamjui, binadamu hategemewi ila Mungu pekee.Tunaojitambua tulijua tu Mwanasheria uchwara anatafuta kiki kupitia mgongo wa Makonda.
Sure. Hao clouds wanaweza kusaidia tu kama mashahidi wa upande wa mashtaka.
Kwahiyo alichokifanya makonda kilikuwa sawa hastahili kushitakiwaau kuadhibiwa?Tunaojitambua tulijua tu Mwanasheria uchwara anatafuta kiki kupitia mgongo wa Makonda.
Waulize Clouds walisema hivyo mimi sijui.KWA hiyo alichokifanya makonda kilikuwa sawa hastahili kushitakiwaau kuadhibiwa?
Ndio wameshaharibu sasa, maskini MakondaLazima wajilinde maana linaweza kuwaangukia. Haijulikani Mama yupo upande upi kwa suala la hiki kiumbe πππ
Atabadili IDNitakushtua muda ukifika.
wanamaana kua mambo yalishaisha na mikono walishikana na marehemu ruge.Utetezi wenu una maana ipi, kabla ya kwenda mbali, au mna maanisha kilichofanywa ni halali? Majibu tasafali, kabla mambo hayajawa mengi.