dali kimoko
Senior Member
- Jan 25, 2021
- 114
- 139
Hawa jamaa sina imani nao tena ndio maana mapambio yalikua mengi sana kusifu na kuabudu tu dah imauma sana.Tangu hiyo skendo ijulikane nimeacha kabisa kusikiliza/kutazama media zao hadi warudishe pesa yetu.
Du watanzania kusoma tu tunashindwa ,pesa iliyolipwa clouds na TBC ni halali kabisa tatizo clouds na TBC hawakutoa fiscal receipts (risiti ya kieletroniki) kiufupi hizi kampuni zinatumia fiscal invoice (invoice za kieletroniki)hakuna kubwa hapo ni kutoekewa kwako tu ndio kunakusumbua.Pesa ambayo walilipwa wasanii wa wasafi ndio haikupaswa kulipwa soma vizuri haukimbizwi na yoyoteujanja umefanyika kati ya upande mmoja na upande mwengine, kisha dili likafanyika!!
hapo kuna upigaji, hiyo kazi ni danganya toto.
njia pekee kwa boss wa CMG ni kurudisha fedha ya watanzania.
kwa mujibu wa Ripoti ya CAG hiyo fedha haikulipwa kihalali kwa clouds ndio maana walikwepa taratibu zinazo stahili. ukifuatilia sana huo mzigo hata kodi haujatozwa.
Kwani wao serikali wajue ile pesa imetoka kwenye budget au la! Wao walipewa deal wakafanya yao mbona uwa wanarusha matangazo ya wizara ya afya. Wakuwajibishwa ni kigwa aliyewalipa hiyo pesa na kuandaa mambo ambayo hayakuwa kwenye budgethata kama walifanya kazi, ile pesa haikuwa kwenye budget ya serikali hivo basi warudishe alafu wamnai kigwa kwa sababu hakuna mkataba baina ya serikali na clouds
Siyo lkurudisha pesa wanatakiwa kulipa kodi ya serikali!!!Njia pekee ya kujisafisha kutoka ktk uchafu huu ulio tolewa na ripoti ya CAG na kuhusisha clouds kupokea Tz sh. zaidi ya million 600 njia pekee ya kujisafisha ni kurudisha pesa ya serikali maaana utaratibu ulikiukwa na hivyo kubatilisha utaratibu wote, hakuna uhalali wa clouds kupokea fedha ambayo haikuzingatia utaratibu vinginevyo lazima kulikuwa na njama au nia ovu ya kuiibia serikali.
Kwa sasa baada ya ripoti njia pekee ni kurudisha fedha ya watanzania badala kuanza kujisafisha kupita media zenu hiyo haisaidii kwa sasa. kwa sasa ripoti ya CAG ndio inasimama kwa uzito.
Kwa sasa Clouds Media Group hamna uhalali wa kujadili ripoti ya CAG kwa sababu nyinyi ni wachafu, kwani mnatuhumiwa kukwapua fedha za umma kwa kushirikiana na watu wasio waadilifu.
Clouds njia pekee ya kujisafisha ni kurudisha pesa ya watanzania mlio ipokea kinyume na taratibu.
warudishe kwanza hiyo fedha maana haikufuata taratibu za malipo.Siyo lkurudisha pesa wanatakiwa kulipa kodi ya serikali!!!
😂😂😎Ndo muda wote kupiga mapambio.
mataga hamueleweki! Kwahiyo saiz mko against CAG mnatetea wezi? Au ndo mko against bi mkubwa? Au niaje? Hamueleweki! MmevurugwaWamesema wana risiti na walilipa TRA.. ingekuwa wewe ungerudisha pesa ulizofanyia mtu kazi!!!!
Kama unataka wakuonyeshe waombe wafanye hivyo..
We Ras subiri mabibi wa kizungu wakuoe na wakujengee nyumba...we kutumia ubongo huwezi...kwanini usingehoji rais wako kupiga simu clouds na sio TBC?..Ukiwa na wajinga kama huyu hakika nchi haiwezi kwenda.....
Good pointWalishafanya kazi ni vp warudishe pesa? Njia bora ni wataje kiasia halali walicholipwa.
[emoji3][emoji3]Mkuu alikuwa anapenda kuwapigia simu anajifanya anafatilia vipindi vyao, kumbe alikuwa anauliza 'mmeipata?'