Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,212
- 31,527
Umeongea vizuriClouds kwanini hakutoa EFD RECEIPT kama sheria inavyosema?
CAG anasema hakuona risit ya EFD ?
Si unajua kutokutoa risiti ya EFD ni kosa ?
Halafu clouds hawakupeleka Kodi ya zuio TRA!
Kuna sehemu clouds Ina makosa pia. Ngoja TRA wakachukue Kodi yao