uporo wa wali ndondo JF-Expert Member Joined Dec 3, 2013 Posts 3,454 Reaction score 2,244 Mar 22, 2017 #61 ipo siku yao wajinga wale...wana ubongo mdogo sana kama wasamaki dagaa.
uporo wa wali ndondo JF-Expert Member Joined Dec 3, 2013 Posts 3,454 Reaction score 2,244 Mar 22, 2017 #62 ushuzi.1 said: Watanzania wanata vyeti tu hayo mengine hawana mda nao Click to expand... usituwekee maneno mdomoni. watanzania wengine hatutaki chochote zaidi ya wauza ngada na company zao wanyooshe maelezo.
ushuzi.1 said: Watanzania wanata vyeti tu hayo mengine hawana mda nao Click to expand... usituwekee maneno mdomoni. watanzania wengine hatutaki chochote zaidi ya wauza ngada na company zao wanyooshe maelezo.
Mwanamaji JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,906 Reaction score 4,532 Mar 22, 2017 #63 Kesho ataenda na mabomu, atalipua moja pale mapokezi ili "kuwaweka juu". Una mawazo mazuri ndugu mtoa mada
Kesho ataenda na mabomu, atalipua moja pale mapokezi ili "kuwaweka juu". Una mawazo mazuri ndugu mtoa mada
django2017 Senior Member Joined Feb 1, 2017 Posts 146 Reaction score 58 Mar 22, 2017 #64 izzo said: Muda si mrefu utasikia taasisi na mashirika yote ya serikali kutopeleka matangazo Clouds Pia Tamasha pendwa Fiesta litashitiswa kwa sababu za kiusalama TRA & TCRA watakuwa wageni wa Clouds Ngosha ni bingwa wa visasi we subiri tu tutasikia Click to expand... Acha woga wewe , ulitaka wanyamazie huu udharirishaji?
izzo said: Muda si mrefu utasikia taasisi na mashirika yote ya serikali kutopeleka matangazo Clouds Pia Tamasha pendwa Fiesta litashitiswa kwa sababu za kiusalama TRA & TCRA watakuwa wageni wa Clouds Ngosha ni bingwa wa visasi we subiri tu tutasikia Click to expand... Acha woga wewe , ulitaka wanyamazie huu udharirishaji?