unauliza nani kasema hivyo wakati unayoyauliza ndio umeendelea kuyaandika..!did something wrong upstairs..!!??kwahiyo serikali ipo kuwalinda wezi na wakwepa kodi sababu wako ccm..!!maajabu ya karne only in bongo land alafu anakuja mtu anajipambanua kwa usomi kama wewe bado anatetea na kufurahi aujinga huu..🙁🙁🙁🙁😱😱Nani kasema hivyo. Hawa wanaopiga kelele wana madudu mengi sana serikali imewastahi. Hawa akina Mange wamevumiliwa sana. Sasa unaponyea kambi ya jeshi unategemea nini? Hapa haki kwa haki. Hawa akina Gwajima wanatapa tapa tu. Wamenaswa kwenye mtego.
Vyeti vya nn? Kwan unatoa ajira?Watu wanataka vyeti sio story
Huyo Yesu si wa Clouds peke yao ni wawote pamoja na Serikali mwambieni Ruge atafute mafile ya kulipa kodi kama yako vizuri na mm najua hayako vizuri kwani watu weusi swala la kulipa kodi ni jambo gumu sana tunaona kama tunaonewa siku TRA watakapo mpelekea malimbikizo ya kodi bilion 20 toka yuko kitega uchumi mpaka sasaKwa Jina la Yesu Kristo, hili halitatokea. Nalikwamisha kabisa duniani na kwenye mbingu na anga zote. AMEN (Isaya 7.7)
jaribu kuwa objective kwenye issues; serikali iliacha kutumia media zake watu wakawa wanapishana mikocheni Mara mkulu katuma mkwanja kwa wanaotangazwa wanauhitaji, simu za mkulu pale, Leo hii ndo pale pale rc kavamia kwenye kituo pendwa cha bosi wake!! hivi mawazo hayo ni rahisirahisi eeh!None sense, CLOUD Ikiwa sued Bashite atalipa? kwanini hawakupeleka TBC huo ujinga wao.mna post ujinga uliotukuka! Cloud wamekuwa fair hawaja sue,wametaka apology tu! ww unatumia masaburi kufikiria
mlidhisha=mridhisha!Ivi Watz tunataka nn juzi kuna watu walisema hawaangalii clouds kwa sababu imekuwa kama TBC,RC amevamia mkasimama kidedea na Ruge mnashinikiza aseme ukweli amesema ukweli mmegeuka kweli nimeamini huwezi mlidhisha binadamu.
uoga ni ugonjwa Mbaya sana! huwa nasikitika sana kuona member wa jf wa mda mrefu anachangia pumba.Waache. Sasa hivi wanapiga kelele kweli. Muulize sasa Mange Kimambi wameanza kumshika kidogo kidogo. Hotel yao sasa hivi inapigwa mnada. Yaani wangekuwa na akili wangeachana na kushindana na serikali ili kufurahisha watu fulani.
Mwananchi sasa hivi wameanza kufungasha vilago baada ya kuanza kukosa matangazo.
ITV sasa hivi wameachana na hilo jambo. Wenyewe wanaendelea kulishikia bango. TRA wakiingia hapo. Itakuwa noma.
Wanafanya inavyotakiwa. Kama umeendesha matamasha bila kulipa kudi lazima upigiwe hesabu ulipe. Ukipigiwa hesabu siyo kuja juu na kuanza kuleta zengwe la kumchafua mtu kwa kisingizio.Kwa hiyo TRA na Serikali kwa ujumla wake wanafany vitu kwa kukomoana?,
Yale magari mtarudisha ???Nani kasema hivyo. Hawa wanaopiga kelele wana madudu mengi sana serikali imewastahi. Hawa akina Mange wamevumiliwa sana. Sasa unaponyea kambi ya jeshi unategemea nini? Hapa haki kwa haki. Hawa akina Gwajima wanatapa tapa tu. Wamenaswa kwenye mtego.
I told them...notification za tax zitakuwa heavy this time.....they are really blind they dont see it is coming....Waache. Sasa hivi wanapiga kelele kweli. Muulize sasa Mange Kimambi wameanza kumshika kidogo kidogo. Hotel yao sasa hivi inapigwa mnada. Yaani wangekuwa na akili wangeachana na kushindana na serikali ili kufurahisha watu fulani.
Mwananchi sasa hivi wameanza kufungasha vilago baada ya kuanza kukosa matangazo.
ITV sasa hivi wameachana na hilo jambo. Wenyewe wanaendelea kulishikia bango. TRA wakiingia hapo. Itakuwa noma.
serikali ya visasiWaache. Sasa hivi wanapiga kelele kweli. Muulize sasa Mange Kimambi wameanza kumshika kidogo kidogo. Hotel yao sasa hivi inapigwa mnada. Yaani wangekuwa na akili wangeachana na kushindana na serikali ili kufurahisha watu fulani.
Mwananchi sasa hivi wameanza kufungasha vilago baada ya kuanza kukosa matangazo.
ITV sasa hivi wameachana na hilo jambo. Wenyewe wanaendelea kulishikia bango. TRA wakiingia hapo. Itakuwa noma.
Muda si mrefu utasikia taasisi na mashirika yote ya serikali kutopeleka matangazo Clouds
Pia Tamasha pendwa Fiesta litashitiswa kwa sababu za kiusalama
TRA & TCRA watakuwa wageni wa Clouds
Ngosha ni bingwa wa visasi we subiri tu tutasikia
Lugha gani kama sio hii niliyoandikamlidhisha=mridhisha!
jaribu kutumia lugha ambayo angalau unaiweza
Ni bora wakose matangazo yote ya serikali kuliko kupandwa kichwani na akina Bashitee. Bado matangazo ya taasisi binafsi na mashirika ya kimataifa yatawasaidia tu!Muda si mrefu utasikia taasisi na mashirika yote ya serikali kutopeleka matangazo Clouds
Pia Tamasha pendwa Fiesta litashitiswa kwa sababu za kiusalama
TRA & TCRA watakuwa wageni wa Clouds
Ngosha ni bingwa wa visasi we subiri tu tutasikia