Vyeti vyeti vyeti vyetichances never come twice au tragedy come in thrice. hili tukio limekuja mnalaani na kulaumu na hata kuamua kuside na waliokuwa maadui wenu dhidi ya rafiki yenu. rafiki wa kweli ni yule anayesimama na nyinyi wakati wa Shida. sio siri mlikuwa mnakabiliwa na ushindani Mkubwa sana kibiashara na mlishaanza kupotea, lakini rafiki yenu kaja na backup plan to bring u at the top of every media. mnataka nini tena clouds! mlimsaidia sana rc kufanikisha kazi zake sasa na yeye kawasaidia sana kuwaweka juu. coincidence! mmushukuru mungu kwa kila jambo na pia hata president kawapa sana publicity toka aingie madarakani, Mimi hata nilikuwa cjui 360 lakini kupitia yeye nikawa mfuatiliaji, baba wa watu mpaka kateua mtu kutoka hapo ktk kipindi cha 360. please don't mess up with him na huo ndo urafiki.
moderator mnatabia ya kuungaunga nyuzi za watu tunaomba mtuache huu ni Uhuru wa kupeana taarifa bila kuingiliwa.
karibuni wadau kujazia nyama
Mungukuwaweka juu. coincidence! mmushukuru mungu kwa kila jambo na pia
Watanzania wanata vyeti tu hayo mengine hawana mda naoAcha kushikiwa akili Lumumba buku 7 wewe
Mungu kwenye vyeti feki jina bandia hakai hapoMungu
chances never come twice au tragedy come in thrice. hili tukio limekuja mnalaani na kulaumu na hata kuamua kuside na waliokuwa maadui wenu dhidi ya rafiki yenu. rafiki wa kweli ni yule anayesimama na nyinyi wakati wa Shida. sio siri mlikuwa mnakabiliwa na ushindani Mkubwa sana kibiashara na mlishaanza kupotea, lakini rafiki yenu kaja na backup plan to bring u at the top of every media. mnataka nini tena clouds! mlimsaidia sana rc kufanikisha kazi zake sasa na yeye kawasaidia sana kuwaweka juu. coincidence! mmushukuru mungu kwa kila jambo na pia hata president kawapa sana publicity toka aingie madarakani, Mimi hata nilikuwa cjui 360 lakini kupitia yeye nikawa mfuatiliaji, baba wa watu mpaka kateua mtu kutoka hapo ktk kipindi cha 360. please don't mess up with him na huo ndo urafiki.
moderator mnatabia ya kuungaunga nyuzi za watu tunaomba mtuache huu ni Uhuru wa kupeana taarifa bila kuingiliwa.
karibuni wadau kujazia nyama
Muda si mrefu utasikia taasisi na mashirika yote ya serikali kutopeleka matangazo CloudsWaache. Sasa hivi wanapiga kelele kweli. Muulize sasa Mange Kimambi wameanza kumshika kidogo kidogo. Hotel yao sasa hivi inapigwa mnada. Yaani wangekuwa na akili wangeachana na kushindana na serikali ili kufurahisha watu fulani.
Mwananchi sasa hivi wameanza kufungasha vilago baada ya kuanza kukosa matangazo.
ITV sasa hivi wameachana na hilo jambo. Wenyewe wanaendelea kulishikia bango. TRA wakiingia hapo. Itakuwa noma.
naamini Hawa hawakusoma vizuri situation na wamewahi sana kureact nakuja public, wajisahihishe mapema, la sivyo, itakuwa hadithi ya from hero to zeroMuda si mrefu utasikia taasisi na mashirika yote ya serikali kutopeleka matangazo Clouds
Pia Tamasha pendwa Fiesta litashitiswa kwa sababu za kiusalama
TRA & TCRA watakuwa wageni wa Clouds
Ngosha ni bingwa wa visasi we subiri tu tutasikia
kwahiyo mnataka kutuambia ukitaka kufanikiwa na wizi wako nikuendelea kuikumbatia ccm??Waache. Sasa hivi wanapiga kelele kweli. Muulize sasa Mange Kimambi wameanza kumshika kidogo kidogo. Hotel yao sasa hivi inapigwa mnada. Yaani wangekuwa na akili wangeachana na kushindana na serikali ili kufurahisha watu fulani.
Mwananchi sasa hivi wameanza kufungasha vilago baada ya kuanza kukosa matangazo.
ITV sasa hivi wameachana na hilo jambo. Wenyewe wanaendelea kulishikia bango. TRA wakiingia hapo. Itakuwa noma.
Ogopa sana mtu anayekumaliza huku unakuangalia usoni na wala aoni aibu kukusema popote palenaamini Hawa hawakusoma vizuri situation na wamewahi sana kureact nakuja public, wajisahihishe mapema, la sivyo, itakuwa hadithi ya from hero to zero
Muda si mrefu utasikia taasisi na mashirika yote ya serikali kutopeleka matangazo Clouds
Pia Tamasha pendwa Fiesta litashitiswa kwa sababu za kiusalama
TRA & TCRA watakuwa wageni wa Clouds
Ngosha ni bingwa wa visasi we subiri tu tutasikia
Nani kasema hivyo. Hawa wanaopiga kelele wana madudu mengi sana serikali imewastahi. Hawa akina Mange wamevumiliwa sana. Sasa unaponyea kambi ya jeshi unategemea nini? Hapa haki kwa haki. Hawa akina Gwajima wanatapa tapa tu. Wamenaswa kwenye mtego.kwahiyo mnataka kutuambia ukitaka kufanikiwa na wizi wako nikuendelea kuikumbatia ccm??
None sense, CLOUD Ikiwa sued Bashite atalipa? kwanini hawakupeleka TBC huo ujinga wao.mna post ujinga uliotukuka! Cloud wamekuwa fair hawaja sue,wametaka apology tu! ww unatumia masaburi kufikiriaChances never come twice au tragedy come in thrice. Hili tukio limekuja mnalaani na kulaumu na hata kuamua kuside na waliokuwa maadui wenu dhidi ya rafiki yenu. Rafiki wa kweli ni yule anayesimama na nyinyi wakati wa shida.
Sio siri mlikuwa mnakabiliwa na ushindani mkubwa sana kibiashara na mlishaanza kupotea, lakini rafiki yenu kaja na backup plan to bring u at the top of every media. Mnataka nini tena clouds! Mlimsaidia sana RC kufanikisha kazi zake sasa na yeye kawasaidia sana kuwaweka juu. Coincidence.
Mshukuru Mungu kwa kila jambo na pia hata president kawapa sana publicity toka aingie madarakani, mimi hata nilikuwa sjui 360 lakini kupitia yeye nikawa mfuatiliaji, baba wa watu mpaka kateua mtu kutoka hapo katika kipindi cha 360. Please don't mess up with him na huo ndo urafiki.
Karibuni wadau kujazia nyama
Waache. Sasa hivi wanapiga kelele kweli. Muulize sasa Mange Kimambi wameanza kumshika kidogo kidogo. Hotel yao sasa hivi inapigwa mnada. Yaani wangekuwa na akili wangeachana na kushindana na serikali ili kufurahisha watu fulani.
Mwananchi sasa hivi wameanza kufungasha vilago baada ya kuanza kukosa matangazo.
ITV sasa hivi wameachana na hilo jambo. Wenyewe wanaendelea kulishikia bango. TRA wakiingia hapo. Itakuwa noma.