Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,461
hahahahaaa..., yan nmekuja mapema nkajua ntawah hiyo siti kumbe nmechelewa.Nakaa siti ya mbele mwenyewe....
Lakini mpaka sasa hivi ameshafeli vijana wanapiga kazi kwa kwenda mbele...zama zimebadilika hizi.Hiyo Ni nje ya kazi!
Kwani ulisikia wameambiwa wasiwasiliane na diamond hata nje ya ofisi?
Unajua chanzo cha mgogoro wao?
Ninachomkubali Ruge huwa haongei sana Ni vitendo tu!
Yaani kama vile umemkuta mwizi nyumbani kwako unaanza kumfukuza kimya kimya mpaka uhakikishe anaanza kupiga yowe yeye mwenyewe!
Na anawawezea kweli!
Kwa wcb kafeli,hadi top 20 yao imekuwa ya ajabu ajabu tuHiyo Ni nje ya kazi!
Kwani ulisikia wameambiwa wasiwasiliane na diamond hata nje ya ofisi?
Unajua chanzo cha mgogoro wao?
Ninachomkubali Ruge huwa haongei sana Ni vitendo tu!
Yaani kama vile umemkuta mwizi nyumbani kwako unaanza kumfukuza kimya kimya mpaka uhakikishe anaanza kupiga yowe yeye mwenyewe!
Na anawawezea kweli!
Umeangalia kitu gani kikakuthibitisha amefeli?Lakini mpaka sasa hivi ameshafeli vijana wanapiga kazi kwa kwenda mbele...zama zimebadilika hizi.
Hivi ni aspect zipi hizo mnazoziangalia mpaka mseme kafeli?Kwa wcb kafeli,hadi top 20 yao imekuwa ya ajabu ajabu tu
Ila hawa mashabiki wa diamond kwa kweli naona kama wanaweweseka tangu juzi naona wanatoa nyuzi kuhusu clouds na ruge. Sasa kama clouds wameshindwa kwa diamond sioni haja had kupiga kelele.kupiga kelele huku maana yake CMG wana power na influence kubwa na maana yake dawa inaingia.Umeangalia kitu gani kikakuthibitisha amefeli?
Huku kuweweseka tu ni mafanikio tosha kwamba ruge amefanikiwa kwa kiasi chake!( angalia sio nyie mashabiki tu Hata wao kwenye Instagram page zao)
Juzi kati kwenye birthday yake alisema ishu iliyowahi kumsumbua akili Ni ile ya Vinega tu nayo anadhani kwasababu alikuwa mdogo"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mbona maelezo marefu sana halafu hakuna hit point?Ruge ndiye aliyeufanya mziki wa bongo flavor ukae kibiashara, namaanisha yeye ndiye aliyetengeneza soko lake ndani na nje, na yeye ndiye alishika soko lao, East Afrika walichemka, kina majizzo walijikita kwenye burudani lakini Ruge peke yake ndo alijikita kwenye biashara, kabla ya Ruge kuupeleka mziki huo level za kimataifa aliurasimisha ukawa na haadhi hapa nchini, nani mkulu angekaa enzi hizo kusikiliza Julietha na nyambizi? Ulichukuliwa kihuni tu, alifanya juhudi kuua hipo hop kabisa ili wasanii wote waimbe wakiwa civilized! Na kupitia makundi yote ya ki hip hop gangsters yalikufa, hapo kabla ungesikia EastCost wana bifu na TMK wanaume japo wote walionekana machoko mbele ya Nako2Nako na Kikosi cha mizinga, huku unamkuta fid q na pale dudubaya, mabifu ya kuhuni kabisa, Ruge alipofanikiwa kuua hipo hipo akamgeuza na fid q kuwa muimba taarabu siku hizi, pima uwezo wa Ruge alipomwambia Mrisho Mpoto Mjomba, acha ufala tafuta hela, muziki wako uingize hela, tangu hapo mjomba anaimba nini? Zaidi ya kualikwa Ikulu ka mwanasiasa, kazi ya Ruge katika hiyo industry ni kubwa japo yapo ya hovyo pia alifanya, amewanyonya wasanini lakini ni yeye aliyewasaidia leo kila msanii analilia ngoma yake ichezwe clouds
Hata asipocheza ngoma yako ila anajua fitina zote za hiyo industry coz he blooded to build it, jiulize tangu diamond ametoswa na clouds kuna show gani ya maana amewahi kuifanya ya kumuingizia mkwanja? Kama alivyompandosha atamshusha tu, yaani diamond asahau kukanyaga Ikulu tena mark my words, hao wasanii wote ambao Ruge kawalea na kuwakuza anaouweza kuwa destroy kama alivyofanya kwa wengine kina Saida tena dada yake, na wengine kibao, THT wakati inaanza alikuwepo kina Vumilia na tangu alipotoka kujiunga na band hadi leo hasikiki!
Kwakifupi dogo diamond anakosea sana na management yake inamdanganya, alimzingua Bob junior na Kiba waliomsaidia hadi ruge na kina babu tale kumjua, anamzingua na Ruge aliyemsaidia kufika hapo alipo leo, clouds ilikuwa haipiti siku bila kusikia nyimbo ya diamonds sasa hivi ameota mapembe subiri tu promo atakayopewa kiba utashangaa.....!
Onyesha sehemu ambayo amefanikiwa kuwapoteza WCB?Umeangalia kitu gani kikakuthibitisha amefeli?
Huku kuweweseka tu ni mafanikio tosha kwamba ruge amefanikiwa kwa kiasi chake!( angalia sio nyie mashabiki tu Hata wao kwenye Instagram page zao)
Juzi kati kwenye birthday yake alisema ishu iliyowahi kumsumbua akili Ni ile ya Vinega tu nayo anadhani kwasababu alikuwa mdogo"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kila utawala una zama zake brother, sasa kwa kuwa unawainua watu ndio uwapangie level za mafanikio yao, mtu akitaka step flani kwakuwa haikupendezi ndio awe adui!? I think WCB watafanya mapinduzi makubwa ya kuwafumbua wasanii na huu utumwa wa Ruge. Na hakuna mafanikio ya kweli chini ya utumwa ni lazma ujikomboe upambane ili kupata mafanikio. Diamond is a natural talented artist...na yupo level flani...naamini akiwa focused atakata hii minyororo...hata Puff Daddy alikata minyororo akafanikiwa......kisa mtu kuanzisha TV unamchukia wanataka auze tuu Karanga...and to the dismay ya watangazaji wa clouds media hawajijui nao wamo kifungoni....Millardayo.com anatakiwa ajitambue si kuendeshwaa ameshakua ila hajitambui....ruge he thinks same tactics alizotumia 90s on jidee will work in 2018...so stupid sana, sasa hv YouTube tuu ni zaidi ya Radio...acha Instagram....Ruge ndiye aliyeufanya mziki wa bongo flavor ukae kibiashara, namaanisha yeye ndiye aliyetengeneza soko lake ndani na nje, na yeye ndiye alishika soko lao, East Afrika walichemka, kina majizzo walijikita kwenye burudani lakini Ruge peke yake ndo alijikita kwenye biashara, kabla ya Ruge kuupeleka mziki huo level za kimataifa aliurasimisha ukawa na haadhi hapa nchini, nani mkulu angekaa enzi hizo kusikiliza Julietha na nyambizi? Ulichukuliwa kihuni tu, alifanya juhudi kuua hipo hop kabisa ili wasanii wote waimbe wakiwa civilized! Na kupitia makundi yote ya ki hip hop gangsters yalikufa, hapo kabla ungesikia EastCost wana bifu na TMK wanaume japo wote walionekana machoko mbele ya Nako2Nako na Kikosi cha mizinga, huku unamkuta fid q na pale dudubaya, mabifu ya kuhuni kabisa, Ruge alipofanikiwa kuua hipo hipo akamgeuza na fid q kuwa muimba taarabu siku hizi, pima uwezo wa Ruge alipomwambia Mrisho Mpoto Mjomba, acha ufala tafuta hela, muziki wako uingize hela, tangu hapo mjomba anaimba nini? Zaidi ya kualikwa Ikulu ka mwanasiasa, kazi ya Ruge katika hiyo industry ni kubwa japo yapo ya hovyo pia alifanya, amewanyonya wasanini lakini ni yeye aliyewasaidia leo kila msanii analilia ngoma yake ichezwe clouds
Hata asipocheza ngoma yako ila anajua fitina zote za hiyo industry coz he blooded to build it, jiulize tangu diamond ametoswa na clouds kuna show gani ya maana amewahi kuifanya ya kumuingizia mkwanja? Kama alivyompandosha atamshusha tu, yaani diamond asahau kukanyaga Ikulu tena mark my words, hao wasanii wote ambao Ruge kawalea na kuwakuza anaouweza kuwa destroy kama alivyofanya kwa wengine kina Saida tena dada yake, na wengine kibao, THT wakati inaanza alikuwepo kina Vumilia na tangu alipotoka kujiunga na band hadi leo hasikiki!
Kwakifupi dogo diamond anakosea sana na management yake inamdanganya, alimzingua Bob junior na Kiba waliomsaidia hadi ruge na kina babu tale kumjua, anamzingua na Ruge aliyemsaidia kufika hapo alipo leo, clouds ilikuwa haipiti siku bila kusikia nyimbo ya diamonds sasa hivi ameota mapembe subiri tu promo atakayopewa kiba utashangaa.....!
Yes, ni kweli mkuu! Ninachojaribu kusema sio kwamba Ruge anafanya poa, hapana ninachojaribu kusema ni kwamba ametengeneza soko ambalo ili msanii utoke lazima umlambe miguu, Ruge hapendi kudharauliwa kwa kazi aliyoifanya, na Ruge anapiga pesa kupitia wasanii aliowasaidia, tatizo ni hizo za dharau anazomuoneshea kwamba mimi pia ni mkubwa, Ruge katika industry ni Godfather wa diamond, so kama diamond ameingia kwenye industry aliyopo Ruge hapo kinachofata ni ushindani tu kibiashara na sio bifu, Sebastian Ndege mzee wa njia panda anamiliki band na radio, lakini hana bifu na Ruge,Kila utawala una zama zake brother, sasa kwa kuwa unawainua watu ndio uwapangie level za mafanikio yao, mtu akitaka step flani kwakuwa haikupendezi ndio awe adui!? I think WCB watafanya mapinduzi makubwa ya kuwafumbua wasanii na huu utumwa wa Ruge. Na hakuna mafanikio ya kweli chini ya utumwa ni lazma ujikomboe upambane ili kupata mafanikio. Diamond is a natural talented artist...na yupo level flani...naamini akiwa focused atakata hii minyororo...hata Puff Daddy alikata minyororo akafanikiwa......kisa mtu kuanzisha TV unamchukia wanataka auze tuu Karanga...and to the dismay ya watangazaji wa clouds media hawajijui nao wamo kifungoni....Millardayo.com anatakiwa ajitambue si kuendeshwaa ameshakua ila hajitambui....ruge he thinks same tactics alizotumia 90s on jidee will work in 2018...so stupid sana, sasa hv YouTube tuu ni zaidi ya Radio...acha Instagram....