Mimi kitu najiuliza ni kama jamaa anawalipa wasanii kwa ku-air life yao nje ya jukwaa ama la !? Au kwenye mkataba wa shows za fiesta kuna kipengele cha wao (clouds) kumiliki haki za kuonesha video za muhusika? Maana usijekuta msanii kalipwa hela ya kuperform tu ilhali mwenzake (clouds) anapiga pesa za television huku..
Si bora msanii arekodi show yake atupie Youtube aokote mia mbili mbili.