Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,848
TCRA walisema local Chanel ni free matokeo yake ni kinyume chake mpaka Waziri aongee ndiyo utaona wanakurupuka.U
Umeelewa mkuu, kuna watu hawaelewi kwamba hili ni zao la udhaifu fulani katika mamlaka ila kwa upeo wao watakujadiri wewe uliyeamua kusema kana kwamba umeongea kitu cha hovyo. Ni lazima tukiri hili ni ombwe na si suala la kusema eti "hujalazimishwa, si lazima, kama huwezi uache" n.k. Hizi kauli ni kukwepa ama kulinda udhaifu uliopo badala yake unaamua kuuzunguka mbuyu kwasababu huwezi ama kwenye hilo wewe ni kanyanga
Polee sanaMkuu aisee hata me nimeshangaa jaman ndio hivyo tunaopenda ile channel inabidi tujiunge tu kwa shingo upande ila hawatutendei hakiii kabisaa
Bhas unaifaidiiiiZaidi ni movie tu za kibongo halaf jana nilikua sina usingizi nimejiunga niangalie fiesta
Pamoja sana mkuu.Watanzania watu wa hovyo sana na ndo maana mnatesana sana na kuishi kwa visasi. Sishangai kuona wenzetu wakilalamika kwenye huduma kuongezeka hata senti lakini kwa hapa Tz utaitwa mwehu ... Labda kwa kukusaidia, si kila anayesema basi kashindwa hilo jambo.
Naamini nimeanza kuitumia Azam hata kabla labda hujawaza kuitumia kama kweli unayo na huu ni mwaka wa 5 sasa unaisha naitumia Azam na ukitaka reg# yangu pia ntakupa ukahiki. Nimelipa vifurushi vyote kwa utashi wangu na hakuna mwezi sijalipia wala kukwama kulipa.
Kwahiyo usifikilie tunaongea kisa hatuwezi kumudu ama labda ni pesa nyingi, lah! Tunaongea kama watanzania na kama jamii ya watanzania. Tunaelewa pia ni soko huria lakini mwanadamu unahitaji kuhoji na kutafiti kwasababu una utashi na haliwezi kuwa kosa. Si ajabu kuhoji kwangu hapa kuna kitu nadevelop ambacho wewe huwezi kukielewa badala yake utaona tu eti watu wanalalamika.
Usipende kudharau vitu vidogo ukafikiri ni vikubwa pekee ndo vinakufanya kuwa mwanadamu ama kwasababu tu wewe vidogo vyote unavyo. Katika kuongea hivi tunapata nafasi ya kuwasaidia wengine wengi sana na ndo maana ya kuongea haijalishi hicho kitu kwako kinahusika kiasi gani.
Grow big and not fat!
Mbaya zaidi hiyo channel haina lolote la maana, utumbo mtupu. Angeanzisha tu na yeye king'amuzi chake afanye aina ya biashara aitakayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Stop complaining brother....Watanzania watu wa hovyo sana na ndo maana mnatesana sana na kuishi kwa visasi. Sishangai kuona wenzetu wakilalamika kwenye huduma kuongezeka hata senti lakini kwa hapa Tz utaitwa mwehu ... Labda kwa kukusaidia, si kila anayesema basi kashindwa hilo jambo.
Naamini nimeanza kuitumia Azam hata kabla labda hujawaza kuitumia kama kweli unayo na huu ni mwaka wa 5 sasa unaisha naitumia Azam na ukitaka reg# yangu pia ntakupa ukahiki. Nimelipa vifurushi vyote kwa utashi wangu na hakuna mwezi sijalipia wala kukwama kulipa.
Kwahiyo usifikilie tunaongea kisa hatuwezi kumudu ama labda ni pesa nyingi, lah! Tunaongea kama watanzania na kama jamii ya watanzania. Tunaelewa pia ni soko huria lakini mwanadamu unahitaji kuhoji na kutafiti kwasababu una utashi na haliwezi kuwa kosa. Si ajabu kuhoji kwangu hapa kuna kitu nadevelop ambacho wewe huwezi kukielewa badala yake utaona tu eti watu wanalalamika.
Usipende kudharau vitu vidogo ukafikiri ni vikubwa pekee ndo vinakufanya kuwa mwanadamu ama kwasababu tu wewe vidogo vyote unavyo. Katika kuongea hivi tunapata nafasi ya kuwasaidia wengine wengi sana na ndo maana ya kuongea haijalishi hicho kitu kwako kinahusika kiasi gani.
Grow big and not fat!
You are smart dearPesa zinamfuata mwenye pesa...
Ukikosa idea ya kuzalisha pesa usimulaumu mwinzio kumbuka yule ndio mzee wa kufungua fursa!!!
Ukweli mchungu!