Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,211
- 113,520
Binaafsi namkubali sana kibonde ila anafika sehemu analewa sifa na tatizo lake pseudo knowledge aliyonayo ktk mambo mengi so kama unaamini ni mtu anayefaa anafaa kuongeza ujuzi wa kitaaluma.
Hebu toa mifano hai ya hiyo "pseudo knowledge" aliyonayo Kibonde.
Mimi ni miongoni mwa watu wasiokubaliana na censorship ila nadhan its right time kujengea uwezo wabongo ili wawe na knowldge walau robo ya mambo duniani nimewahi kumsikia huyu ndugu akiongelea inflation ni aibu......clouds fm wa goodwill strong sana kuliko chombo chochote lakini lazima kuzijua zama hizi si za kusadikika
Alikosea nini alipoongelea inflation? Can you be specific? Manake isije kuwa wewe ndo hukuelewa alichokuwa akiongelea.