instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,540
- 19,485
Haya mambo ya views tukiyatumia kumfananisha kiba na mondi.
Team kiba mnakataa vibaya sana ooh mara viewz za kununua..
Na clouds wamenunua views hizo
Sent using Jamii Forums mobile app





Kumbuka views ni tofauti na wasikilizajiHaya mambo ya views tukiyatumia kumfananisha kiba na mondi.
Team kiba mnakataa vibaya sana ooh mara viewz za kununua..
Na clouds wamenunua views hizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kufananisha clouds na vitu vya ajabu bwana
Acha kufananisha clouds na vitu vya ajabu bwana
Wasafi dar yenyewe Tu inakoroma .sasa bukoba na mtwara itakuwajeAisee hukutakiwa kuifananisha na hao wasafi, umewakosea clouds heshima mkuu.
Hiyo wasafi inasikika tandale tu
Yeahh wako extra miles kwenye creativityHawa jamaa wanastahili hata No 1 wanabunifu sana.
Kabisa.
Mkuu yaaan unafananisha wasafi iliyoanzishwa mwaka jna katikati n inapatikana dar tu vs station iliyoanzishwa miaka kadhaaa iliyopita n imeweka misingi ya kutosha n inapatikana sehemu nying hapa tanzania...ebu kuwa serious au ni chuki binafsi??hao wasafi wapeni muda wa miaka kadhaa ndipo tuje tutoe maneno lkn sio kwa sasa.....atleast ungesema clouds vs radio one or radio free africa or tbc or east africa radio ambazo zina muda mrefu hapa tz.....tuache uteam let be realistic
Kosa la kwanza ni kulinganisha redio iliyo hewani kwa miaka 19 na redio ya mwaka jana ambayo haijaanza hata kurusha vipindi zaidi ya matangazo na muziki.Kama Ni kupanga Matokeo ya darasani
1) Clouds
2) hakuna
3) Hakuna
4) Hakuna
5) Wasafi
6) Blaaa Blaaa zingine
Hujaelewa Uzi wangu mkuu .Uzi wangu ni wakuuliza kimshangaoMkuu yaaan unafananisha wasafi iliyoanzishwa mwaka jna katikati n inapatikana dar tu vs station iliyoanzishwa miaka kadhaaa iliyopita n imeweka misingi ya kutosha n inapatikana sehemu nying hapa tanzania...ebu kuwa serious au ni chuki binafsi??hao wasafi wapeni muda wa miaka kadhaa ndipo tuje tutoe maneno lkn sio kwa sasa.....atleast ungesema clouds vs radio one or radio free africa or tbc or east africa radio ambazo zina muda mrefu hapa tz.....tuache uteam let be realistic
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku nyengine tumia neno uzi, na sio uzi wangu. inaleta ule u binafsi wa daslama yangu.



msomi awezi andika upuuzi ulio andika wewe Ujinga ni pale unapo fananisha kituo kilicho Kwenye majaribio na akina ata mwaka ina onesha ni jinsi gani Kina kunyima usingizimsomi awezi andika upuuzi ulio andika wewe
Sent using Jamii Forums mobile app