Nukta5
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,192
- 1,315
- Thread starter
- #21
Jamaa huyu anabadili ID kila siku lakini siyo tabia. warumi,wanini unapenda matusi sana wewe?
Hapana kaka sorry kama sio kaka, but mm ni mtu tofauti na huyo Warumi ila sijapenda kutukana ila ni huyo ameniudhi samahan kama umekwazika Salamander