Mbona solution vipanga tulishatoa huko nyuma, muwe mnasoma thread.Hakikisha browser yako ina Adobe Flash player utaweza kusikiliza murua.
Ukisoma hii thread nzima utaona jinsi wabongo tulivyo na huruma za ghafla.
Ukweli ni kwamba kuna injustice nyingi sana katika jamii yetu ambazo zinaenda unnoticed kwa makusudi au bahati mbaya. Atleast hata Clouds wameweka hii habari mtandaoni...hata wa US, UK nk.. wamesikia ndo wengi hapa wanaonyesha kwamba "we are one" culprits should be punished accordingly.
Lakini hatujiulizi ni mangapi maovu makubwa katika jamii yetu yanayotendeka na tunayafumbia macho? Ofcourse hakuna kinachoweza kujustify huu unyama waliotendewa viumbe hawa..lakini as a larger community lazima tujiulize..tutaendelea kuishi kwa zimamoto mpaka lini? Tujiulize kwa nini utegemee polisi afanye kazi yake vyema..kwa mshahara na kipato ambacho hakikutoshi wewe kwa mlo wa siku mbili? Why?
Ninachoweza kuwaasa wabongo wenzangu..jamii yetu imeharibika..na imejaa unafiki..tunapenda kutatua matatizo pale yanapowagusa wakubwa au wenye uwezo. Ndo maana hata wananchi hawawaamini polisi wala mahakama..Hatuaminiani..
Kuna watoto wananyanyaswa..hata majumbani kwetu..tunawatumikisha kama mahouse girls...hawaendi shule..wanatulelea, kutufanyia usafi, kutupikia kwa ujira mdogo (wengine hawapewi..)....kesho wanakuwa makahaba..kujiuza..ndo tunakuwa wa kwanza kuwapigia kelele..eti maadili yanamomonyoka...Yet ulivyokuwa na nafasi ya kusaidia kulinda maadili ya huyo binti kwa kumpa support ya kisomo hukufanya hivyo..
In all, as a society tuangalie bigger picture..tatizo ni kubwa kuliko tunavyoliona..tukabili kiini cha tatizo..ingekuwa vipi sympathy na ghadhabu iliyoonyeshwa hapa ingekuwa similar kwa ile inayoonyeshwa kwa madudu yanayotendeka katika jamii yetu kila siku? Something could be different.
I hope waliofanya huu ubaradhuli watafikishwa mbele ya pilato.
Adobe Flash player sio suluhisho la kila tatizo la audio streaming, usiahidi mtu kwamba ataweza "kusikiliza murua." Hata mafundi walioandika code ya Windows kwenye site ya Microsoft wanakwambia "...try the following." Kwa sababu huwezi kujua li computer la mtu lina kifaduro gani huko, can't promise jack.
Link ya site haifunguki kabisa, wewe unamhakikishia tatizo ni Flash Player. Wrongo! Hiyo link sio kwamba inafungua the audio streaming automatically, site inabidi ifunguke halafu ubonyeze "play." Hapo ndio flash player inapokuwa executed, kama inahitajika. Kwa hiyo, kwa maelezo aliyokupa, kwamba inaganda kwenye kufungua link, hukutakiwa kuhitimisha kwamba suluhisho ni Flash Player, get it "kipanga" Blueray?
Mwenye tatizo, try this first: Badilisha browser. Kama unatumia, kwa mfano, IE, jaribu Mozilla Firefox, au Flock.
I believe hii kitu imekuwa over loaded our wanatatizo la kiufundi.
Hope wanalijua hilo.
Nimeona wale wanaolaani watangazaji.
Kama mnataka kuwaasa dada wa kipindi hiki au kuwapa hongera basi wasiliana na mmoja wao ambaye kwenye blog yake kaweka adress yake:-
TUWASILIANE:
mail:dina_marios@yahoo.com
simu:0787 583132
hii ni namba yakipindi 0784 499547
Hii imetoka kwenye BLOG yake :- Dina Marios
Ila msianze kumrushia matusi dada wa watu. Pelekeni tu maoni yenu bila kutoa hasira zenu utadhani ni yeye alibaka ingawa twajua kuwa hana kifaa cha kubakia.
mkuu pale kwenye chat room chini yake kuna maandishi madogo madogo angalia kuna link ya heka heka...lakini update ni kuwa yule mkware kakamatwa na yuko ndani.....lakini kama mjuavyo bongo kesho atakuwa mtaani......hii ishu ni mie na wewe na kila mmoja wetu kuifatilia maana naona kama ishaanza kufifia....Yo Yo,
Nimeingia huko ila nimetoka mweupe. Naona tu maelezo ya Dullo kuwa kila kitu tayari na sioni wapi nionyeze..
Ola...hakuna kitu....haichezi!!
Edison,
Siyo tatizo la wazazi tu, ni tatizo la jamii nzima ya Tanzania. Kwanza Elimu yetu na maadili yetu. Those family values we have. Umewasikia hata wazazi wanapoongea? Haiwasikitishi kuwa sana ile discrimination waliyoipata watoto, bali wao wamesema kabisa "watoto wetu wameharibiwa tutapataje pesa"; infact kitendo alichofanya yule jamaa ni "barbaric and sadistic in nature". Waziri siyo inabidi amtume polisi kumshika yule kijana, inabidi yeye na IGP waende kumshika yule kijana. Umasikini vile vile unachangia. Zile nyumba wanazoishi watu wa Darisalamu si za kuishi watu. Nenda ile mitaa ya Iddrissa, Pangani, Mkadini, zile nyumba zenu za vyumba sita; hivi hiyo familia inayotoka hicho chumba itakuwaje? Maana mie huwa naona hicho chumba kimoja anatoka mama, baba, binti, kaka; sasa what do you expect. Darisalamu ni slum city ambayo inafuga watu wa ajabu ajabu!
Mungu atuhurumie!