Clouds FM wapo biased sana katika kusoma habari

Clouds FM wapo biased sana katika kusoma habari

Titans

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
1,459
Reaction score
3,373
Leo katika kipindi cha magazeti cha clouds FM kinachoongozwa na PJ nimesikitika sana,nilikua nasubiri kwa hamu sana habari ya MAGUFULI kuzomewa,ila PJ hakusoma hyo kitu hata heading tu,damn them.nahisi wanatumika kimaslahi.
 
Kwani hapo nyumbani kwako radio yako inadaka clouds fm peke yake? au na wewe ndo walewale wanazi wa radio moja. Mi nimeisikiliza radio magic fm yaani wametoa bila chenga kila kitu
 
Hawa Clouds mbona tumewashtukia siku nyingi....ni redio inayofaidika na system iliyopo sasa, kiserikali na kichama. Jaribu pia ku observe Michuzi blog.. ni hivyo hivyo
 
kwani we mpaka leo haujui clouds ipo kwa maslahi ya nani? hiyo redio ni sawa na kusoma gazeti la uhuru au jambo leo. amka tafuta redio nyingine za kusikiliza acha kulalamika bhana.
 
Back
Top Bottom