- Thread starter
- #21
Exactly nami ningependa kujuaHata mimi kiukweli natamani kumjua huyo jamaa ana sauti flani iko so deep and smooth, pia napenda kufahamu kwanini hatangazi vipindi vya kawaida zaidi ya kufanya Voice Over kwenye matangazo.