King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,083
- 98,360
tutajua mwisho wake tu...
wataokota wao si tunatupia tu kwenye nyavu zao labda wakamfufue michael jackson hahaha mbeya walipigwa mswaki sasa subiri waone
sugu anajibu hivi!katika dhana ya kugawana mashabiki kwenye matamasha kati ya sugu na ruge,clouds fm kupitia straight music watafanya tamasha siku hiyo hiyo ambayo mh. Sugu(joseph mbilinyi,mb wa mbeya mjini) naye anazindua album yake ya ant-virus ii tar. 26/11/2011.clouds fm wamejibu kutokana na mh sugu kupitia kampuni yake ya deiwaka kufanya tamasha siku hiyohiyo ambyo nao clouds walikuwa wanafanya tamasha lao la fiesta mbeya.
Nawasilisha
sugu anajibu hivi!
[h=6]...this time hata wamfufue mfalme wa pop michael jackson halafu wamlete bongo tarehe 26 nov ili kutuharibia...hakika tutawatuliza kama tulivyowatuliza mbeya na fiesta yao...we got thiz coz mitaa iko na sisi na nchi iko kwenye good mood...
[/h]
Nakubaliana naye
.......... yeah Mnyalu said it very clearly, itafahamika tu!!Itafahamika tu
Umechemka na wao wamechemkaKatika dhana ya kugawana mashabiki kwenye matamasha kati ya sugu na ruge,clouds fm kupitia straight music watafanya Tamasha siku hiyo hiyo ambayo Mh. Sugu(Joseph Mbilinyi,Mb wa Mbeya mjini) naye anazindua album yake ya ANT-VIRUS II tar. 26/11/2011.Clouds Fm wamejibu kutokana na Mh sugu kupitia kampuni yake ya Deiwaka kufanya Tamasha siku hiyohiyo ambyo nao clouds walikuwa wanafanya tamasha lao la Fiesta mbeya.
Nawasilisha
Sugu ana matatizo huyo.
Umechemka na wao wamechemka
Mkuu kalila nahisi na wewe ni m1 wa watu wa Deiwaka mmejipanga vp ki-promo kuwapiku hawa kina ruge na clouds? Maana navyowajua wabongo wengi wanaendeshwa sana na matukio si umeona wanamleta DMX.
radio ya wafu labda wawafufue wafu akina jacks na heavy d ndo watazima mziki wa street fighter wa bish wa kitaa
Ruge hawezi kupambana na sugu ruge anatumia ikulu na sugu anampango wa kwenda kumuona jakaya kumuelezea matatizo ya mziki. Ruge anamtumia mwana fa amempa mil 30 ili awasaliti wasanii wenzake kwa kupitia kampuni ya t.f.u wasanii wengi watajiunga na movement ruge anahanya tu promo zina kuja check na swahilioriginaltz.com