Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,730
yule kilaza pj lazima atoke
lakini chadema si wamekatazwa na polisi kufanya mkusanyiko wowote nchini?
Walivyo wajanja na wao wataanzisha sho yao pale Kijitonyama
Sasa akitumbuiza ndio clouds inakuafa,kwani ameshatumbuiza mara ngapi na bado ipo hewani,mi sina bifu na clouds wala sugu ila hiyo siku minitakuwa pande za leaders nikimshuhudia mnyamwezi fabulous na kaka yake DMX!!Sugu atatumbuiza viwanja vya ustawi wa jamii na album yake ya Anti virus itakuwa hewani
Wameisha anzisha pale leaders club eti DMX anakuja!!Nimekuta wanaweka jukwaa!!Walivyo wajanja na wao wataanzisha sho yao pale Kijitonyama
Hii ya zamani lakini kabla hata hajawa mbunge. ngoja tusubiri wadau waje kusafisha mamboHebu angalieni na sikilizeni huu uchafu wa mbunge wa chadema kwenye hii link hapa chini!!
SUGU ANTI VIRUS
Huyo ndiye mheshimiwa mbunge...ndiye kioo cha jamii!!Hii ya zamani lakini kabla hata hajawa mbunge. ngoja tusubiri wadau waje kusafisha mambo
Watu wengine mnataka watu tupate burn 2Sasa akitumbuiza ndio clouds inakuafa,kwani ameshatumbuiza mara ngapi na bado ipo hewani,mi sina bifu na clouds wala sugu ila hiyo siku minitakuwa pande za leaders nikimshuhudia mnyamwezi fabulous na kaka yake DMX!!