Clouds ni moto wa kuotea mbali huwezi walinganisha na wasafi TV ambao wanarusha mubashara sherehe sijui za tiffa mara nnKwenye maisha siku zote kuna kupanda na kushuka na ndivyo wanavyoombea wengi yatokee hayo kwa CLOUDS FM lakini tatizo Lina kuwa kwa wapinzani wake wako mbali sana kuwafikia CLOUDS .
E-FM wapo slow sana hata baadhi ya vipindi vyao wanakosea muda sahihi wa kuvipangilia haiwezekani asubuh tu kipindi cha michezo masaa matatu hata siku haija changanya vizuri.
CLOUDS FM hawa jamaa sio kwamba mi mwenyewe nawakubali sana ila hamna mpinzani wake anayejaribu kumsogelea ukianzia upangaji wa vipindi vyao na mtiririko wa matukio na hata frequency zao zina nguvu sana zina sikika mpaka uvunguni sio hizo nyinginge ukitoka nje ya dar tu zinaanza kusumbua mpaka uiwekee Kitu juu ndo unasikia vizuri.
Na hata hao wanaoichukia CLOUDS wanajua wao ndo chanzo cha kufel mishe zao iwe business au muziki ni Jana raisi wa "TFF" ametoka kutoa ufafanuzi juu ya sakata la yanga kwenye sports extra hii inaonyesha CLOUDS inaaminika taarifa zake na ina fuatiliwa na watu wengi na hata mkuu mwenyewe anaifutilia kwa makini alishawahi kupiga simu 360.
Sawa ina Matatizo yake mengi sana ila mbadala hajapatikana wa CLOUDS kwa Tanzania bila CLOUDS aisee sijui ingekuwaje game yetu ya bongo flava .
Mnao ichukia CLOUDS unganeni mtafute mbadala wake imara la sivyo mtapata tabu sana.
Huo ndo ukweliKwenye maisha siku zote kuna kupanda na kushuka na ndivyo wanavyoombea wengi yatokee hayo kwa CLOUDS FM lakini tatizo Lina kuwa kwa wapinzani wake wako mbali sana kuwafikia CLOUDS .
E-FM wapo slow sana hata baadhi ya vipindi vyao wanakosea muda sahihi wa kuvipangilia haiwezekani asubuh tu kipindi cha michezo masaa matatu hata siku haija changanya vizuri.
CLOUDS FM hawa jamaa sio kwamba mi mwenyewe nawakubali sana ila hamna mpinzani wake anayejaribu kumsogelea ukianzia upangaji wa vipindi vyao na mtiririko wa matukio na hata frequency zao zina nguvu sana zina sikika mpaka uvunguni sio hizo nyinginge ukitoka nje ya dar tu zinaanza kusumbua mpaka uiwekee Kitu juu ndo unasikia vizuri.
Na hata hao wanaoichukia CLOUDS wanajua wao ndo chanzo cha kufel mishe zao iwe business au muziki ni Jana raisi wa "TFF" ametoka kutoa ufafanuzi juu ya sakata la yanga kwenye sports extra hii inaonyesha CLOUDS inaaminika taarifa zake na ina fuatiliwa na watu wengi na hata mkuu mwenyewe anaifutilia kwa makini alishawahi kupiga simu 360.
Sawa ina Matatizo yake mengi sana ila mbadala hajapatikana wa CLOUDS kwa Tanzania bila CLOUDS aisee sijui ingekuwaje game yetu ya bongo flava .
Mnao ichukia CLOUDS unganeni mtafute mbadala wake imara la sivyo mtapata tabu sana.
Hawaamini wanachokionaShilingi imegeuka,bichwa limekua mwenge.
Ahahaaah.Hawaamini wanachokiona
Umeongea ukweli mtupu...... Acha wazee wa upepo wapitiwe na kimbunga mwaka kesho Mungu akituwezesha mida kama hii tutaulizana vipi mbona huyu jamaa aitwaye Clouds bado yupo namba moja?Kwenye maisha siku zote kuna kupanda na kushuka na ndivyo wanavyoombea wengi yatokee hayo kwa CLOUDS FM lakini tatizo Lina kuwa kwa wapinzani wake wako mbali sana kuwafikia CLOUDS .
E-FM wapo slow sana hata baadhi ya vipindi vyao wanakosea muda sahihi wa kuvipangilia haiwezekani asubuh tu kipindi cha michezo masaa matatu hata siku haija changanya vizuri.
CLOUDS FM hawa jamaa sio kwamba mi mwenyewe nawakubali sana ila hamna mpinzani wake anayejaribu kumsogelea ukianzia upangaji wa vipindi vyao na mtiririko wa matukio na hata frequency zao zina nguvu sana zina sikika mpaka uvunguni sio hizo nyinginge ukitoka nje ya dar tu zinaanza kusumbua mpaka uiwekee Kitu juu ndo unasikia vizuri.
Na hata hao wanaoichukia CLOUDS wanajua wao ndo chanzo cha kufel mishe zao iwe business au muziki ni Jana raisi wa "TFF" ametoka kutoa ufafanuzi juu ya sakata la yanga kwenye sports extra hii inaonyesha CLOUDS inaaminika taarifa zake na ina fuatiliwa na watu wengi na hata mkuu mwenyewe anaifutilia kwa makini alishawahi kupiga simu 360.
Sawa ina Matatizo yake mengi sana ila mbadala hajapatikana wa CLOUDS kwa Tanzania bila CLOUDS aisee sijui ingekuwaje game yetu ya bongo flava .
Mnao ichukia CLOUDS unganeni mtafute mbadala wake imara la sivyo mtapata tabu sana.
Namba 1? [emoji3]Umeongea ukweli mtupu...... Acha wazee wa upepo wapitiwe na kimbunga mwaka kesho Mungu akituwezesha mida kama hii tutaulizana vipi mbona huyu jamaa aitwaye Clouds bado yupo namba moja?
Majibu utaskia mimi sisikilizi clouds
Ni redio inayosikilizwa sana hasa na vijana katika miji TZ hiyo ni fact ukitaka jua hilo angalia matangazo ambayo wnayo kila kipindi. Kabla ku kupeleka matangazo redioni kampuni uwa zinafanya tathmini ya audience.Namba 1? [emoji3]
Labda vijana wa mikoani... Mkuu...Ni redio inayosikilizwa sana hasa na vijana katika miji TZ hiyo ni fact ukitaka jua hilo angalia matangazo ambayo wnayo kila kipindi. Kabla ku kupeleka matangazo redioni kampuni uwa zinafanya tathmini ya audience.
Tatizo waTz uwa tunapenda pingana na mambo yaliyo wazi ila ukweli utabaki kuwa ukweli. Hivi kuna chombo chochote cha habari chenye threads nyingi kama clouds humu? Achilia mbali humu hata huko kwenye social media nyingine?Labda vijana wa mikoani... Mkuu...
Daaa jamaa harudi tenaNi redio inayosikilizwa sana hasa na vijana katika miji TZ hiyo ni fact ukitaka jua hilo angalia matangazo ambayo wnayo kila kipindi. Kabla ku kupeleka matangazo redioni kampuni uwa zinafanya tathmini ya audience.
View attachment 945081
Shida mkuu hutaki kukubali reality.. Clouds wameshapotea.. Na wanazid potea... Mimi nashangaa unavokua mgumu kukubali... Anyway mkuu time will tell... Nikutakie jion njemaTatizo waTz uwa tunapenda pingana na mambo yaliyo wazi ila ukweli utabaki kuwa ukweli. Hivi kuna chombo chochote cha habari chenye threads nyingi kama clouds humu? Achilia mbali humu hata huko kwenye social media nyingine?
Watu utasikia mimi niliacha isikiliza miaka 10 iliyopita lakini ikitokea kibonde katukana huyo mtu wa kwanza kuanzisha thread humu sa sijui habari uwa zinapatikana kwenye maono
Yes time will tell umesema kweli.....Shida mkuu hutaki kukubali reality.. Clouds wameshapotea.. Na wanazid potea... Mimi nashangaa unavokua mgumu kukubali... Anyway mkuu time will tell... Nikutakie jion njema