Clouds Fm na Uchakachuaji wa Nyimbo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Clouds Fm na Uchakachuaji wa Nyimbo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by King Kong III, Nov 20, 2011.

 1. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Habari Wana JF,
  Kwanini hawa 88.4 huwa wanachakachua wimbo endapo ikiwa imemshirikisha msanii ambae mwenye beef nao? Je haki miliki ya mwenye wimbo ataidai wapi? Je kosota hawalifahamu hilo? Mfano Inspector alipogombana nao sehemu ambayo yeye anaimba inasikika beat tu,kwenye wimbo wa mchizi wangu rmx sehemu ambao wanachana mapacha clouds fm wamefuta,sasa wadau kuna sheria yeyote inaweza ikawa-sue hawa kwa kuchakachua nyimbo?

  Nawasilisha.
   
 2. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #2
  Nov 20, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  CLOUDS wameshikwa pabaya! Lazime waweweseke! ANTIVIRUS INAWANYIMA USINGIZI! Na Bado!
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  vijana wale kwa kutimiza matakwa ya mabosi wao hawajambo
   
 4. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #4
  Nov 20, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Khaaaa ! Kumbe ?
   
 5. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #5
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  clauz wapuuzi.
   
 6. g

  goodlucksanga Senior Member

  #6
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wapaka poda tuuuu
   
 7. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #7
  Nov 20, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  tatizo kubwa la 88.4 ni kukosa maadili na uhaba wa taaluma. Hapo walipo wanajitahidi sana.
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Nov 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  nalog off by washawasha..
   
 9. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #9
  Nov 20, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hello WAFU FM, can you hear me, mnaoharibu game, sijui kwa nini,.. I love this song! 28-58 Over
   
 10. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #10
  Nov 21, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Redio ya kibwege sana hii. Mimi sipotezi muda wangu kusikiliza.
   
 11. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #11
  Nov 21, 2011
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Yani wamekaa kinafki sana wanajishaua tu
   
 12. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #12
  Nov 21, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Clouds wote si chipsi mayai, mashoga wa Cameroon, Hivi kuna watu bado wanasikiliza hii redio?
   
 13. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #13
  Nov 22, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,508
  Likes Received: 5,623
  Trophy Points: 280
  Hawa wapuuzi sana,wamehonga baadhi ya wasanii waliokuwa washiriki kwenye tamasha la anti Virus ili wasishiriki akiwemo Inspector haruni!! Wanamleta DMX ili tamasha la anti Virus lisifanikiwe! Wasanii kama inspector haruni hawatofanikiwa kwa kukubali kuuza utu wao! Kibaya zaidi watawatumia na kuwatema kama Big G! Wasanii wanapaswa kusimamia haki zao ikibidi hata kwa gharama yeyote!Ruge na watu wake wamevuruga soko la hawa vijana,hao mnaowaöna wanatamba zaidi ni over promotion kama hamuamini siku wakigombana hata na Diamond huyu anaetamba sasa hamtamsikia tena! Hawa ni mafia wa muziki,wana influence kila sector mpaka kwa wasambazaji! Alafu kuna watangazaji wa clouds wanajiona kama ile radio yao,wamejiachia na wanatumika na Ruge kipuuzi kabisa nao wapo wapo tu,wanashindwa kujiendeleza ili baadae waweze kufanya kazi popote,mwisho njaa zao zinawafanya wawe makondoo ya akina Ruge! Wasaníi inabidi wawe tayari na kuunga mkono harakati za kuvunja mtandao wa kinyonyaji wa akina Ruge ili Music industry iwe huru kwa kila mwenye kipaji na sio pawepo watu wa kuamua nani atoke na nani asitoke kwa maslahi yao!Ugomvi wa Ruge na Sugu umetoka mbali sana lakini umesaidi kuleta harakati nzuri kuokoa vijana wenye vipaji na mfumo mbovu wa muziki.Sugu amekuwa akitetea hili sababu chanzo cha ugomvi wao ni maslahi na Sugu kukataa unyonyaji wa wazi then Ruge kuapa kumpoteza Sugu kwenye soko la muziki! Tutawasaidia vijana wapate haki zao kwa jasho lao na tutawazindua kwa kuwaelimisha kwa kina!
   
Loading...